album cover
Mpepe
album cover
00:00
00:10
00:20
00:45
01:00
01:05
01:25
01:35
02:00
02:25
02:35
02:40
02:45
02:50
02:55
03:30
00:00
03:48
Past 7 Days
Mpepe was discovered most frequently at around 45 seconds into the song during the past week

Lyrics

Uuh yelee eeh
Yeah za man
(Good, good, goody)
Mkiniona jicho nyanya mi, jicho kitunguu
Hakuna kingine zaidi ya maumivu tu
Kichwani ameacha kumbukumbu
Sijasikia la mkuu nimevunjika guu
Kama kaniendea kwa mganga
Basi mganga wake anajua aah
Maana mi nakijua kizizi itakuwa kamix na dua aah
Sio limbwata mapenzi (tuu)
Ameniaacha mpenzi (huu)
Ningekuwa na uwezo wa vichenji (tuu)
Angetulia mpenzi (huu)
Ai we! Vururu varara amekuwa pasua kichwa
Pakusukuma mwenzangu amevuta
Mipombe sigara na wapenda mapusha
Ai nyie, mapenzi yameninyoosha
Tiba yangu mpepe
Mninyongee mpepe
Ili nisimkumbuke nisimuwaze
Wanangu nataka mpepe
Tiba yangu mpepe
Leo nataka niwake
Maana nikimkumbuka nawaza mbali
Mi bora nipate mpepe
Nikila mpepe mi jicho ka' nyanya
Kumbukumbu zinanichanganya
Kipindi ananichoka ndio nilianza kuzama
Masekeseke yakanichanganya
Nikisizi ndio naanza kuelewa
Kumbe nilikuwa naonewa nyie wenzangu mnafanyaje
Au ndio mapenzi yanafata ngekewa
Au michezo ya hela nyie mapenzi yanatakaje
Sio limbwata mapenzi (tuu)
Ameniacha mpenzi (huu)
Ningekuwa na uwezo wa vichenji (tuu)
Angetulia mpenzi (huu)
Ai we! Vururu varara amekuwa pasua kichwa
Pakusukuma mwenzangu amevuta
Mipombe sigara na wapenda mapusha
Ai nyie, mapenzi yameninyoosha
Tiba yangu mpepe
Mninyongee mpepe
Ili nisimkumbuke nisimuwaze
Wanangu nataka mpepe
Tiba yangu mpepe
Leo nataka niwake
Maana nikimkumbuka nawaza mbali
Mi bora nipate mpepe mwan'enu
Tiba yangu mpepe (mpepe)
Mninyongee mpepe (mpepe)
Ili nisimkumbuke nisimuwaze
Wanangu nataka mpepe (mpepe mwan'enu)
Tiba yangu mpepe
Leo nataka niwake (nataka nilanduke)
Maana nikimkumbuka nawaza mbali
Mi bora nipate mpepe mwan'enu
Mmh-mmh, aii, mmh-mmh, uuh yelee eh, mmh-mmh
Monster (mmh-mmh) mi nalilia mapenzi
(Monster like a monster this is a Good Master)
Written by: Saluh, Whozu

Loading...