album cover
Natamba
album cover
00:00
00:30
00:40
00:45
01:05
01:15
01:20
01:55
03:15
03:25
03:35
03:40
04:00
05:05
05:15
05:25
07:05
00:00
07:23
Past 7 Days
Natamba was discovered most frequently at around 30 seconds into the song during the past week

Lyrics

Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Natamba
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Iambieni dunia na mambo yake
Sitarudi nyuma sitarudi
Waambieni waongo na maneno yao oh
Sitarudi nyuma sitarudi
Waambieni wachawi na mateso yao oh
Sitarudi nyuma sitarudi
Waambieni maadui na vita vyao na vita vyao
Sitarudi nyuma sitarudi
Iambieni dunia na mambo yake
Sitarudi nyuma sitarudi
Waambieni waongo na maneno yao oh
Sitarudi nyuma sitarudi
Waambieni wachawi na mateso mateso yao
Sitarudi nyuma sitarudi
Waambieni maadui na vita vyao na vita vyao
Sitarudi nyuma sitarudi
Natamba nikiwa nawe
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Natamba Natamba Natamba
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Every one
Hebu tamba kidogo na Yesu
Niko upande wa Mungu
Hakuna chakunizuia
Mimi niko upande wa Mungu
Hakuna chakunizuia
Mimi niko na Bwana wangu Yesu
Hakuna chochote chakunizuia
Mimi niko upande wake Yesu
Hakuna chakunizuia
Niko
Niko upande wa Mungu
Hakuna chakunizuia
Mimi niko
Niko upande wa Mungu
Hakuna chakunizuia
Mimi niko
Niko upande wa Mungu
Hakuna chakunizuia
Mimi niko
Niko upande wa Mungu
Hakuna chakunizuia
Twende Natamba nikiwa nawe
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Natamba Natamba Natamba
Natamba nikiwa nawe Yesu
Naringa nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
We ni yote
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
We ni yote
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Wewe ndiye mafuta yangu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
We ni yote
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Come on we ni yote
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Shetani akae mbali na wewe
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Yeye ndiye uzima wangu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Yeye ndiye kimbilio langu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Natamba nikiwa nawe
Natamba nikiwa nawe Yesu
Wewe ni yote katika yote
Natamba nikiwa nawe
Haleluya
Written by: Fredrick Japhet Kilago
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...