album cover
Kitemeo
album cover
00:00
00:10
00:30
00:50
00:55
01:05
01:30
01:55
02:05
02:30
02:35
02:50
00:00
02:54
Past 7 Days
Kitemeo was discovered most frequently at around 30 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Intro]
Inarecord kweli?
[Chorus]
Natoa wapi keki ya leo?
Wife ako na urazi na kelele kelele kelele
Ntatoa wapi kitemeo
Fuck mambo za gwedhe na nyege
Ilikua imeitisha kikombe ya black
Ikaitisha blunt ikaitisha madam
Sa imebakisha kufuck
Kufuck sa imebakisha kufuck
Kufuck sa imebakisha kufuck
[Verse 1]
Bag ni ya nini alele mtoto
Najua sijapona nikipandisha joto
Pia niko na kimtokoti na tuko Korogocho
Toppa imeficha macho full lights juu ya mapopo
Nakuja na taxin, sikuji na taxi
Pia niko na maji nisikaushe mafi
Black paper iko na TV ndani
Kakirunda mtaniambia tools zangu zimeenda wapi
Unapangiwa line aki jaba wewe
Nakujua mzuri si tumegrow na wewe
Mzae hapendi kuniona na wewe
Nikunywe keg nivute tire na bado unisumbue na nyege
[Chorus]
Natoa wapi keki ya leo? (Keki ya leo)
Wife ako na urazi na kelele (Kelele kelele)
Ntatoa wapi kitemeo
Fuck mambo za gwedhe na nyege
Ilikua imeitisha kikombe ya black
Ikaitisha blunt ikaitisha madam
Sa imebakisha kufuck
Kufuck sa imebakisha kufuck
Kufuck sa imebakisha kufuck
[Verse 2]
Juu niko na movie mauongo ukweli
Pesa ya probiotic ikijaa namuendea na nduthi
One captain, leave ni ya kusikia mzuri
Niko na plug wa kila shuguli
Nikicock cock inakuwa cocky
Penye gwedhe iko niko maarea na sitoki
Nasimamisha maploti kwa medula masaa sibongi
Kushukia labda stage ya shomwi
Akue Okuyu, Nduli, Gaki au Jakabi
Waingo au mkale bora arudi kwake asubuhi
Premium package inakuanga na happy ending
Mkata kutu penye atatoka ndio sijui
[Chorus]
Natoa wapi keki ya leo? (Keki ya leo)
Wife ako na urazi na kelele kelele kelele
Ntatoa wapi kitemeo
Fuck mambo za gwedhe na nyege
Ilikua imeitisha kikombe ya black
Ikaitisha blunt ikaitisha madam
Sa imebakisha kufuck
Kufuck sa imebakisha kufuck
Kufuck sa imebakisha kufuck
[Chorus]
Natoa wapi keki ya leo? (Keki ya leo)
Wife ako na urazi na kelele kelele
Ntatoa wapi kitemeo
Fuck mambo za gwedhe na nyege
Ilikua imeitisha kikombe ya black
Ikaitisha blunt ikaitisha madam
Sa imebakisha kufuck
Kufuck sa imebakisha kufuck
Kufuck sa imebakisha kufuck
Written by: Zien Kapitani
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...