album cover
Radio
9
Music
Radio was released on August 23, 2026 by Timbulo as a part of the album Radio - Single
album cover
Release DateAugust 23, 2026
LabelTimbulo
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy
BPM87

Lyrics

Mmh Mmh Mmh
Mmmmh!
Moccooo
T- Style
Mmmmh!
Mmmmh!
Ooohhh!
 Nimekukambidhi funguo za nafsi uwe wangu mlinzi (iii)
Unapo iweka we ifiche wasione wadokozi
Usikaushe bahari ya mapenzi we wangu mvuvi
Mimi samaki bila maji kuhema siwezi (Oooh!)
Na nikichelewa kulala baby
ujue na like picha zako Honey
Ama nasoma text zako
Tulizo chatigi zamani
Mapenzi Mapenzi
Niliyasikiaga kwenye Radio
Mapenzi Mapenzi
Na mimi Leo naya enjoy
Oooh! Oooh!
Niliyasikia kwenye Radio
Oooh! Oooh!
Na mimi Leo naya enjoy
Oooh! Oiii!
Oooh! Oooh! Oooh!
Salamu za kwanza Natuma kwako Mpenzi
Salamu za pili natuma kwako Lazizi
Sikuwa najuwa maana ya upendo
ukanifunza kwa vitendo
Ukanifunza neno gentle
Sanamu lako najenga Ubungo
Na nikichelewa kulala baby
ujue na like picha zako Honey
Ama nasoma text zako
Tulizo chatigi zamani
Mapenzi Mapenzi
Niliyasikiaga kwenye Radio
Mapenzi Mapenzi
Na mimi Leo naya enjoy
Oooh! Oooh!
Niliyasikia kwenye Radio
Oooh! Oooh!
Na mimi Leo naya enjoy
Oooh! Oiii!
Oooh! Oooh! Oooh!
Mocco
Genius
Written by: Timbulo
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...