album cover
Tayari
album cover
00:00
00:25
01:00
01:15
01:20
01:25
01:50
01:55
02:15
02:35
02:40
02:55
00:00
03:13
Past 7 Days
Tayari was discovered most frequently at around 25 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Naitwa Xouh
(The Sound)
Oh, sweetie, my sweetie-sweetie vanilla
Habibti, ninavyokupenda unajua
Waambie mi niko poa, kwako niko salama
Ona nanawiri, nalishwa nyama nyama
Ah, mimi hapa (mimi hapa)
Yule pale (yule pale)
Nampenda sana, ananichanganya
Oh, mimi hapa (mimi hapa)
Yule pale (yule pale)
Ndo mpenzi wangu, mi nampenda sana
Kumbe mapenzi ni kama bahari
Mwenzenu nishazama tayari
Sifurukuti niko taabani (Badman mi)
Mwenzenu nishazama tayari
Mopao!
Mwiteni mwiteni ex wa baby wangu
Aje akae kitako, nina ujumbe wake leo
Jando gani ulienda?
Kisu gani ulikatwa?
Huchagui pa kupiga
Nilikuta umemchosha
Vidonda mwili mzima
Utadhani mateka
(Ooh-ooh) Ai mashallah, ai mashallah
Siku hizi anang'ara
Wangu waridi
Akipaka kipako uturi anang'ara
Yule mwanaizaya mbwa asio na haya
Mpaka sura nishamsahau
Alinidharau, akajisahau
Mie mwenzake nishapanda dau
Ai mapenzi, yangeniua mapenzi
Kumbe haya mapenzi, ni matamu kishenzi
Jamani, mimi hapa (mimi hapa)
Yule pale (yule pale)
Nampenda sana, ananichanganya
Oh, mimi hapa (mimi hapa)
Yule pale (yule pale)
Ndo mpenzi wangu, mi nampenda sana
(Ooh-ooh)
Kumbe mapenzi ni kama bahari (ooh-ooh)
Mwenzenu nishazama tayari (ooh-ooh)
Sifurukuti niko taabani (ooh-ooh)
Mwenzenu nishazama tayari
(Kamix Lizer)
Written by: Elias Barnabas Inyasi, Zulfa Mohamed Ibrahim

Loading...