album cover
Niko Single
album cover
00:00
00:05
00:15
00:25
00:40
00:55
01:00
01:30
01:45
01:55
02:00
02:10
02:15
02:25
02:30
02:45
00:00
02:53
Past 7 Days
Niko Single was discovered most frequently at around 25 seconds into the song during the past week

Lyrics

Yeah!
Mocco
Mapenzi yako yalifanya
Yalifanya nikakosa raha
Hivi sasa naenjoy
Niko single
Iih, iih
Nateseka mi na mapenzi, niko single najiona
Niko single
Papara kukuru kakara siwezi
Niko single
Oh! Tabu ya nini niteswe na mapenzi
Niko single
Ana malele ona nalia lia
Niko single leo
Ahaa! Mocco
Kaa nikueleze yaliyonikuta ah mimi
Yaliyofanya mpaka mapenzi siyatamani
Si nilikuwa na mpenzi mimi
Nikampenda mimi
Nikamweka ndani mimi
Basi hata atulie (atulie, atulie)
Hata aniigizie (aniigizie, aniigizie)
Kumbe wanamuita view once
Ukitaka unaona
Ukiomba unapewa
Kumbe ile mali yangu mali ya umma
Nililia sana
Nikavimba macho
Kulialia nimechoka sasa
Niko single
Iih, iih
Nateseka mi na mapenzi, niko single najiona
Niko single
Papara kukuru kakara siwezi
Niko single
Oh! Tabu ya nini niteswe na mapenzi
Niko single
Ana malele ona nalia lia
Niko single leo
Ukichokwa usitafute hatia
Usitie huruma
Kemea pepo achilia
Kung'ang'ana ng'ang'ana
Utakuja kujifia eh
Matoto ya siku hizi yamechanganyikiwa
Nyie niulizeni mimi
Nilipatwa na nini?
Nilipigwa matukio nikaponea kwa kuhani
Nililia sana
Nikavimba macho
Kulialia nimechoka sasa
Niko single
Iih
Nateseka mi na mapenzi, niko single najiona
Niko single
Papara kukuru kakara siwezi
Niko single
Oh! Tabu ya nini niteswe na mapenzi
Niko single
Ana malele ona nalia lia
Niko single leo
Ahaa! Mocco! Mocco! Mocco, kah Mocco!
Mocco maboko maboko paaah!
(Kamix Lizer)
Written by: Idd Mohamed Ngomba

Loading...