album cover
Huba
album cover
Huba was released on September 11, 2026 by Independent artist as a part of the album Huba - Single
September 11, 2026
LabelIndependent artist
BPM89
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

HUBA ❤️
Heiyeee,mmmmh,aaaah ...
Hayeeee...hayeeee...hayeeee...
mmmmmh...
                                                                              VERSE 01
Hi sweery,nifanye niwe wako honey,
Nijidaaai,nimake niwe burudani...
Tena darling,jitande wangu we mwandani,
Si tupaary,baridi washa Moto ndani..
    Nishike nikushikilie,jifunze pendo tendo yetu ndo heshima aaah
    Ukila we nibakizie,na penzi zege abariki ya karima aaah,
   Jifunge bwebwe wakalie,sarafu mwenge mi ndo kichwa weka heshima aaah
   Goli sabini jifungie,hakuna kenge pendo tende si daima aaah...
       Ma babe nimefall in love,(nimefall in love )
       Nimezama mama,(nimezama mamaa)
       Baridi nimecooling down,nimefly mazima ...
BRIDGE
Na Kama ni Vita kwako nishashinda,kwa penzi grade mataani ninavimba ,
Na Sina stress quiz nishashinda,
eeeh eeeh eeeh...
CHORUS
Baby langu huba_ huba huba mi nawe ❤️
Baby langu huba_ huba huba mi nawe❤️
Baby langu huba_ huba huba mi nawe❤️
Baby langu huba_ huba huba mi nawe❤️
Eeeeh eeeeh eeeh
Mmmmh aaaaah,aaaaah aaah...
    
                                                                            VERSE 02,
Nataka unizalie mapacha,tuwapeleke nyumbani,
Chakula unipikie kashata,tamutamu ka sukari,
Tuchinje jogoo kubwa la pasaka,wasikie majirani,
Tufanye Siri kimya kwa basata,ka madini mererani
Baby.... Nataka nikupendeee,(ooh nanaaah)
                   Nikujali,(eiyeee eiyeeee )
                   Sitaki uteseke,(ooh nanaaah )
                   Niwe nawe mapaka milele
                   Nataka nikupende,(ooh nana naaah)
                   We dolali,(eiyeee eiyeeee)
                   Sitaki uteseke,(oooh nana naaah)
                   Niwe nawe mpaka milele ....
BRIDGE
Na Kama ni Vita kwako nishashinda,
Kwa penzi grade mataani ninavimba,
Na Sina stress quiz nishashinda,
eeeh eeeh eeeh...
CHORUS
Baby langu huba_ huba huba mi nawe ❤️
(Sijapata onaaah....)
Baby langu huba_ huba huba mi nawe ❤️
(Langu mi na weweeeeeh.....)
Baby langu huba_ huba huba mi nawe ❤️
(Sijapata onaaa aaaah aaaah aaah)
Baby langu huba_ huba huba mi nawe ❤️
     Eeeeh eeeeh eeeeh
....Aaaaah aaaaah aaaaaaaah....
                   Huba ❤️_Oh babe huba
                   Babe hubaa aaaaah_Mimi naweee
                   Huba ❤️ _aaaah huba ❤️ _ aah'aah huba
                   Huba ❤️ mi nawe eeeeh eeeeh,
                                     Aaaaah mmmmhh.
Written by: Abdul Mwendwa

Loading...