album cover
Bado
album cover
Bado was released on September 11, 2026 by Independent artist as a part of the album Bado - Single
September 11, 2026
LabelIndependent artist
BPM92
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Lyrics

Intro..
Aaaah aaah aaah
VERSE 01
Hali yangu mi duni kama unavyoona je umeridhia,
Kula yangu ya shida menu moja mezani mama umesikia,
Nachopata mi buku kukicha jua jamani mvua zanishukia,
And i hope u know that,na siwezi kupretend..
Hata darasani nilipataga zero,kupata kazi imekuwa noma,
Daily kutwa mishe zangu tingo,Hizo Dola naishia kuziona,
Abadani sijavunjwa shingo,napambana sana,kubadili haya and i hope unajua...
BRIDGE
japo moyoni ndo nishapenda,
na siwezi hata kujenga,
Thamani ya pendo langu mi na we eeh..
CHORUS
Bado bado
Mmmh mhh
Bado bado
Mmh mmh
Bado bado
Bado nyota haijawaka siku itafika,
Bado bado
Nivumilie tutapa
Bado bado
Mbona bado mapema,
Bado bado
Aii wee...
VERSE 02
Sawa Mapenzi sio pesa,umenipenda mimi,
ila mwaya hata ua linataka limwagiliwe ili likue,
Na dawa ya tiba ndio pressure,kwangu mimi,
ntakulinda vipi na hali yangu mi ka unavyo ona...
Moyo utatulia,tulia, lakini tamaa haipingiki,
Najua utajizuia,zuia ,lakini utawaza upate kipi,
Moyoni najililia,lilia,walau ahsante haisikiki,
Ndo maana najikalia,kalia,nikiomba dua tupate pishi..
BRIDGE
japo moyoni ndo nishapenda,
na siwezi hata kujenga,
Thamani ya pendo langu mi na we eeh..
CHORUS
Bado bado
Mmmh mhh
Bado bado
Mmh mmh
Bado bado
Bado nyota haijawaka,siku itafika,
Bado bado
Nivumilie tutapa
Bado bado
Mbona bado mapema,
Bado bado
Aii wee...
Written by: Abdul Mwendwa

Loading...