album cover
TEKETEZA
album cover
TEKETEZA was released on July 24, 2025 by Kevin Cash as a part of the album TEKETEZA - Single
July 24, 2025
LabelKevin Cash
BPM113
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

255
Awenamanii aiii
Mami nimeokota ka kete kete
Banaitwaga ma lavu portion kana levya kuliko cocaine
Nangangana na bebe bebe
Nafsi ina nyongoro ta
Ebene ebene za
Me mwanao nimete kwa
Ahhh mapenzi yanatesa
Zamisha kama inanyooka ina tege
Pika papa na mbege
Shika hapa nna nyenye naichapa ilegeze
Zamisha kama inanyooka ina tege
Pika papa na mbege
Shika hapa nna nyenye naichapa ilegeze
Mahaba tekete tekete
Tekete tekete tekete
Tekete tekete teketeza
Mahaba tekete tekete
Tekete tekete tekete
Tekete tekete teketeza
Nteketeze
Aweeee Jaivah
Oya sheria ya kwanzaa
Ukimtakata jaivah uwe na nyash
Ata kama sio kubwa
Hakikisha basi una size ata ya kati
Oya ukimtaka striker
Hakikisha pana bana pale kati
Sio unaleta dimbwi
Alafu unataka striker apite pale kati
Hakikisha basi ata ukitembea uku nyama zinanesa
Zinanesanesa
Sasa iyo mifupa pigo gani unaleta
Unaleta leta
Hakikisha una sura nzuri kabla huja deka
Huja deka deka
Huyu mwenzenu katimiza ivo vigezo na ndo maana anadeka
Kwanza mimi napenda mwanamke wangu akipita watu wageuke
Wageuke
Na waki thaminisha mali waseme aweeeh
Aweeeh
Kwanza mimi napenda mwanamke wangu akipita watu wageuke
Wageuke
Na waki thaminisha mzigo waseme aweeeh
Aweeeh
Zamisha kama inanyooka ina tege
Pika papa na mbege
Shika hapa nna nyenye naichapa ilegeze
Zamisha kama inanyooka ina tege
Pika papa na mbege
Shika hapa nna nyenye naichapa ilegeze
Mahaba tekete tekete
Tekete tekete tekete
Tekete tekete teketeza
Mahaba tekete tekete
Tekete tekete tekete
Tekete tekete teketeza
Oya kwanza mwanamke shepu
Geuka kwanza tulione tikisa tulione geuka tulione
Kwanza mwanamke shepu
Geuka kwanza tulione tikisa tulione geuka tulione
Ebu watikisie tikisa ta ta
Tikisa wezere tikisa
Tikisa nyama tikisa
Ebu watikisie tikisa ta ta
Tikisa wezere tikisa
Tikisa nyama tikisa
Ka mix lixer
Boom
And the good work has been done by Kapipo
Written by: JAIVA AWEE, Kevin Peter
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...