album cover
Kumbato
album cover
Kumbato was released on October 1, 2026 by AICT DODOMA CHOIR as a part of the album Kumbato - EP
October 1, 2026
LabelAICT DODOMA CHOIR
BPM81
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Halleluya! Ehe!
Kumbato la Bwana Yesu linanipa ujasiri, kuwa ndani yake Yesu Kunanipa amani
Kumbato la Bwana Yesu linanipa ujasiri, kuwa ndani yake Yesu Kunanipa amani
Naogelea baraka kifuani mwake Yesu, naogelea baraka kifuani mwake
(Kumbato la Bwana Yesu)
Kumbato la Bwana Yesu (Kumbato la Bwana Yesu) linanipa ujasiri,
(Kuwa ndani yake Yesu)
kuwa ndani yake Yesu kunanipa amani
(Kumbato la Bwana Yesu)
Kumbato la Bwana Yesu (Kumbato la Bwana Yesu) linanipa ujasiri,
(Kuwa ndani yake Yesu)
kuwa ndani yake Yesu kunanipa amani
(Naogelea baraka)
Naogelea baraka kifuani mwake Yesu,

(Naogelea braka)

(Eiboo! ni kweli tunapitia changamoto nyingi, lakini Mungu wetu anatupigania na
kutukumbatia, halleluya! wapi vigelegele, ehe! ehe!)
Chozi langu la thamani halikuanguka bure, chozi langu la thamani halikuanguka
bure
Alinitoa kule kwenye mavumbi yale yalonichafua
Alinitoa kule kwenye mavumbi yake yalonichafua
Kwa sauti ya upole akasisitiza nije kwake akayafuta yote nimekuwa mtu mpya
Kwa sauti ya upole akasisitiza nije kwake akayafuta yote nimekuwa mtu
(Kumbato la Bwana Yesu)
Kumbato la Bwana Yesu (Kumbato la Bwana Yesu) linanipa ujasiri,
(Kuwa ndani yake Yesu)
kuwa ndani yake Yesu kunanipa amani
(Kumbato la Bwana Yesu)
Kumbato la Bwana Yesu (Kumbato la Bwana Yesu) linanipa ujasiri,
(Kuwa ndani yake Yesu)
kuwa ndani yake Yesu kunanipa amani
(Naogelea baraka)
Naogelea baraka kifuani mwake Yesu,
(Naogelea baraka)
Naogelea baraka kifuani mwake Yesu,
(Ehe! sijaona bado mkimtukuza huyu Mungu anayetukumbatia wakati wa shida,
mateso na hudhuni, halleluya! Ehe! Ehe!)
Kwa kuwa tumesamehewa dhambi naye Mungu,
neno linasema tusamehe walotukosea
Neno linasema tusamehe walotukosea
Kwakuwa tumesamehewa dhambi naye Mungu
Neno linasema tusamehe walotukosea
Neno linasema tusamehe walotukosea
(Neno linasema tusamehe walotukosea)
Neno linasema tusamehe walotukosea
(Neno linasema tusamehe walotukosea)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
Mimi Nimesamehe nimesahau machozi yangu
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
Mimi Walonikosea waloniumiza hata siwazi
Nimesamehe nimesahau makosa yangu
Mimi Nimesamehe nimesahau makosa yangu
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
Mimi Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Nimesamehe)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
(Mimi Nimesamehe)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
(Walonikosea)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Walonikosea)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Nimesamehe)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
(Mimi nimesamehe)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
(Walonikosea)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Walonikosea)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Huyu Yesu)
Yesu (ni Kimbilio na nguvu) ni kimbilio na nguvu
(Huyu Yesu)
Yesu (ni Kimbilio na nguvu) ni kimbilio na nguvu
(Msaada utakaonekana yee!)
Msaada utakoonekana wakati wa mateso

(Nimesamehe nimesahau machozi yangu
Ehe! Wangapi wanatamani kuimba na mimi?)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Nimesamehe)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
(Mimi Nimesamehe)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
(Walonikosea)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Walonikosea mimi)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Mimi Nimesamehe)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
(Mimi nimesamehe)
Nimesamehe nimesahau machozi yangu
(Walonikosea)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Walonikosea mimi jamani)
Walonikosea waloniumiza hata siwazi
(Huyu Yesu)
Yesu (ni Kimbilio na nguvu) ni kimbilio na nguvu
(Huyu Yesu)
Yesu (ni Kimbilio na nguvu) ni kimbilio na nguvu
(Msaada utakaonekana yee!)
Msaada utakaonekana wakati wa mateso
(Msaada utakaonekana yee!)
Msaada utakaonekana wakati wa mateso
(Wangapi wanatamani Kusamehe, Wangapi wanatamani Kusamehe
Hata Wale waliowakosea
Ehe! Te! Te!)
Written by: Samwel Limbu
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...