album cover
Mpepe
album cover
00:00
00:20
00:40
01:00
01:05
01:10
01:20
01:45
02:10
02:20
02:35
02:40
02:50
02:55
03:10
03:20
03:35
00:00
03:42
Past 7 Days
Mpepe was discovered most frequently at around 40 seconds into the song during the past week

Lyrics

Huyelee
Yeezaman
Mkiniona jicho nyanya mi jicho kitunguu
 hakuna kingine zaiid ya maumivu tuu
Kichwaani ameacha kumbukumbu
sijasikia la mkuu nimevunjika guu
Na kama kaniendea kwa mganga basi mganga wake anajua
maana m nakijua kizizi itakuwa ka mix na dua aaaah
Sio limbwata mapenzi (tuuu)
ameniacha mupeenzi (huuuh)
Ngekuwa na uwezo wa vichenji huuuh
angetuliaa m mupeenzi uuuh
Aiii Weeh.! Vururu varara amekuwa pasua kichwa
Pa kusukuma mwenzangu amevuta
Mipombe sigara nawapenda mapusha
Aaii nyieee mapeenzi yameninyooshaa
Tiba yangu mpepe
mninyongee mpepe
ili nisimkumbuke nisimuwaze
wanangu nataka mpepe
Tiba yangu mpepe
leoo nataka niwake
maana nikimkumbuka nawaza mbalii
mi bora nipate mpepe.
Nikila mpepe mi jicho ka nyanya
Kumbukumbu zinanichanganya
Kipindi ananichoka ndo nlianza kuzama
Maseke seke yakanichanganya
Nikisizi ndo naanza kuelewa
kumbe nlikuwa naonewa
Nyie wenzangu mnafanyaje
Au ndo mapenzi yanafuata ngekewa
Au michezo ya hela nyie mapenzi yanatakaje
Sio limbwata mapenzi (tuuu)
ameniacha mupeenzi (huuuh)
Ngekuwa na uwezo wa vichenji huuuh
angetuliaa mupeenzi uuuh
Aii Weeh.! Vululu valala amekuwa pasua kichwa
Pa kusukuma mwenzangu amevuta
Mipombe sigara nawapenda mapusha
Aaii nyieee mapeenzi yameninyooshaa
Tiba yangu mpepe
mninyongee mpepe
ili nisimkumbuke nisimuwaze
wanangu nataka mpepe
Tiba yangu mpepe
leoo nataka niwake
maana nikimkumbuka nawaza mbalii
mi bora nipate mpepe mwanenu
Tiba yangu mpepe
mninyongee mpepe
ili nisimkumbuke nisimuwaze
wanangu nataka mpepe
Tiba yangu mpepe
leoo nataka niwake
maana nikimkumbuka nawaza mbalii
mi bora nipate mpepe mwanenu
Tiba yangu mpepe
mninyongee mpepe
ili nisimkumbuke nisimuwaze
wanangu nataka mpepe
Tiba yangu mpepe
leoo nataka niwake
maana nikimkumbuka nawaza mbalii
mi bora nipate mpepe mwanenu
Mmmmmh mmmmh (aaiiiiii)
Mmmmmh mmmmh (huyeleeee)
Mmmmmh mmmmh (monster)
Mmmmmh mmmmh (mi nalilia mapenzi)
Written by: Saluh Saluh
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...