album cover
Ubaya
album cover
00:00
00:05
00:15
01:05
01:35
01:55
02:10
02:15
02:20
02:25
02:50
02:55
03:00
03:05
03:20
03:35
00:00
03:44
Past 7 Days
Ubaya was discovered most frequently at around 1 minutes and 5 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Chege down
(Ayo Lizer)
Karudi na majeraha mwili mzima
Moyoni makovu makovu
Masikini kafubaa oh yatima
Kachoka mchovu, mchovu
Hajarudisha mwili uliopotea
Kapendezeana mwili
Kamchoka yule kafiri
Kutwa kumwonea, hampi anachostahili
Kisa karanga za kuonjeshwa
Kanitema bigijii
Leo kawa muhanga amekomeshwa
Kakumbuka TBT
Ubaya, silipizi ubaya
Ubaya, silipizi ubaya
Ubaya, silipizi ubaya
Ubaya, silipizi ubaya
Dunia duara imemzungukia
Pressure anahisii
Ye' ndo aliyotoa kafara, akamsingizia
Shetani ibilisi
Mi alonikuta nusu kuchanganyikiwa
Alhamdulillah mzima, eh-eh-eh
Bora ningemeza sumu ningekunywa maziwa
Kumbe mapenzi Kichina-china, mh-mmh
Ah-ah-ah-ah uyasikie kwa jirani
Ukitoa pesa, mapenzi hayana mpinzani
Ah-ah-ah-ah uyasikie kwa jirani
Ukitoa pesa, mapenzi hayana mpinzani
Kisa karanga za kuonjeshwa
Kanitema bigijii
Leo kawa muhanga amekomeshwa
Kakumbuka TBT
Ubaya, silipizi ubaya
Ubaya, silipizi ubaya
Ubaya, silipizi ubaya
Ubaya, silipizi ubaya
Kamix Lizer
Written by: Mbwana Yusuph Kilungi, Saidi Juma Hassan

Loading...