album cover
Picha Yake
album cover
00:00
00:10
00:15
00:40
00:45
01:05
01:15
01:30
01:35
01:50
02:10
02:35
02:55
03:10
03:45
00:00
03:55
Past 7 Days
Picha Yake was discovered most frequently at around 1 minutes and 35 seconds into the song during the past week

Lyrics

Naishi naisha, hata sura inakosa nuru, napukutika, mnyonge mwoga mi kunguru
Namridhisha na wa mwisho kwenye musururu, penzi la kujificha, mbele za watu haiko huru
Sili nikashiba, mwanga ndani nje giza, kanipa ratiba, zamu yangu kila jumapili
Moyoni mwiba, nahema kwa shida, penzi msiba, linaniliza mimi yeeh
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (Yeelelee lilelee), naimani nitakutana na yeye (Aaah-aa aa)
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (Yee ye iyeye iyeye), naimani nitakutana na yeye (Laalalalala)
(La-la-la-la) Woo, wo-wo, (La-la-la-la), Uu-uu-uu, u
(La-la-la-la) Iye-iye, iyee le le (La-la-la-la)
Silali baridi, usiku natetemeka, na mbaya zaidi, rafiki wananicheka
Silali baridi ye-ye, usiku natetemeka, mi najitahidi, ila siishi kusononeka
Ona mawingu yamepambwa kwa rangi nzuri, sio mimi wala wewe, ni Mungu mwenyewe
Akaumba jua na mbingu, na mapenzi kama kivuli, tujifiche mi nawe, sa mbona unaniacha mwenyewe
Wahenga walishasema, ukipewa ukilema, unapewa na mwendo
Ila kwangu si neema yani sisimizi kumuua tembo
Ooh chanda chema limebaki neno hakuna mapendo
Nilipolenga nimedema, moyo umekosa malengo, mama, oh-oh
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (Yeelele lilelee), naimani nitakutana na yeye (Aaah-aa aa)
Siku nikifa nizikwe na picha yake yeye (Yee ye iyeye iyeye), naimani nitakutana na yeye (Lalalalala)
(La-la-la-la) Woo, wo-wo, (La-la-la-la), Uu-uu-uu, u
(La-la-la-la) Iye-iye, iyee le le (La-la-la-la)
Silali baridi, usiku natetemeka
Na mbaya zaidi, rafiki wananicheka
Silali baridi ye-ye (La-la-la-la), usiku natetemeka
Mi najitahidi (La-la-la-la), ila siishi kusononeka
Silali baridi (La-la-la-la), mi najitahidi (La-la-la-la)
Written by: Mbosso

Loading...