album cover
Sugu
album cover
Sugu was released on November 6, 2016 by Ziiki Media as a part of the album Sugu - Single
November 6, 2016
LabelZiiki Media
BPM93
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

Kama Zidane mpira uko kambani, vile nawabana kama pochi ya wadada kwapani
Namwamini Mungu funga virago shetani, Joh Makini akiwa mweusi Baraka tumwite nani
Kwenye beat nateleza, japo sijasoma nachana hadi Kiingereza
Good morning! How are you? Men that's simple
You do it for your own but I do it for my people
Nishataambika, wala sikusikika
Wakalashika sahani, nikakosa niliepika
Sasa mambo yamejipa kila kitu uhakika
Nanenepa Wasafi kupiga selfie na Tiffa
Wananiita sugu (Nani?), wananiita sugu (Nani?)
Wananiita sugu sugu, sugu, sugu
Wananiita sugu (Nani?), wananiita sugu (Nani?)
Wananiita sugu sugu, sugu, sugu
Naitwa Rayvanny boy V vanny langu jina
Kinyango toka mbeya siyo toy la kichina
Sijatoboa sikio sijui piko wala ina
Tattoo ya kazi gani ngozi taa ilishazima
Visilani, walokesha kupigapini hawaamini nikipita wanaomba picha na mimi
Zamani mademu walinipiga chini saizi wananisumbua wao (Ray jibu langu lini?)
Heshima kwa watabiri walosema nitafeli
Wakaniita bajaji sitopita kwenye reli, sa mi Wasafii
Kuku kapona kidedi, ukisikia birthday basi tukutane sheri
Wananiita sugu (Nani?), wananiita sugu (Nani?)
Wananiita sugu sugu, sugu, sugu
Wananiita sugu (Nani?), wananiita sugu (Nani?)
Wananiita sugu sugu, sugu, sugu
Niite Ray Sugu, sungura mla dubu
Vipi mama wa kambo ona linatema gubu
Mafuta na mashudu, kipi unahusudu
Vunja kibubu usije kuwa mchele ama gubu
Nafurahi kuona matusi ya wanaonipinga
Waloninyima jero pindi napiga mizinga
Sasa nawapa kero zamu yao kuzinga
Tale kanipa mila msishtuke nikivimba
Uswazi ndiko nakotoka, sista du onyo kushoboka
Sitakuonga iPhone nitakuonga goroka, simu ya kitochi ukacheze gemu la nyoka
Wananiita sugu (Nani?), wananiita sugu (Nani?)
Wananiita sugu sugu, sugu, sugu
Wananiita sugu (Nani?), wananiita sugu (Nani?)
Wananiita sugu sugu, sugu, sugu
Written by: Rayvanny

Loading...