album cover
Oya
album cover
00:00
00:05
00:10
00:15
00:20
00:40
01:10
01:20
01:30
01:35
01:45
02:05
02:15
02:30
02:40
03:10
03:15
03:20
03:25
03:40
00:00
03:53
Past 7 Days
Oya was discovered most frequently at around 40 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Hoho! Eh
The African Princess
(Ei-Eiyoo Trone)
Shi! Mwenzenu hata
Mi sina shaka
Hamna la kunikomoa
Wenzenu washa, pambana sana
Walitaka kumn'goa
Mi siziwezi ngumi
Ila ukimfuata nakuwa Tyson
Naa, nasikia uvumi
Mi mtakatifu mtoto wa sayuni
Eeh shi! Kuna wengi wananilia mingo
Sio wachache, sio wachache
Na wataokwambia kwamba mi niko single
Hao wachapwe, hao wachapwe
Ooya oya
Mi sio oya oya
Na sing'oleki kizembe
Ooh kizembe
Ooya oya
Mi sio oya oya
Na sing'oleki kizembe
Ooh kizembe
Na kama unamtaka ushamkosa
Mwenzako namkosha
Nenda kwa mwamposa
Mwenzako ushamkosa
Na kama unamtaka ushamkosa
Mwenzako namkosha
Nenda kwa mwamposa
Mwenzako kaniposa
Hata mkiwanga
Vita ya mapanga
Simwachi ng'oo
Mimi nishamganda
Niko nae sambamba
Mpaka muombee poo
Mngeachia ngazi mchuma umeondoka huo
Mnajipa maradhi mtakufa na vijiba vya roho
Mngeachia ngazi mchuma umeondoka huo
Mnajipa maradhi mtakufa na vijiba vya roho
Mi siziwezi ngumi
Ila ukimfuata nakuwa Tyson
Naa, nasikia uvumi
Mi mtakatifu mtoto wa sayuni
Eeh shi! Kuna wengi wananilia mingo
Sio wachache, sio wachache
Na wataokwambia kwamba mi niko single
Hao wachapwe, hao wachapwe
Oya oya
Mi sio oya oya
Na sing'oleki kizembe
Ooh kizembe
Oya oya
Mi sio oya oya
Na sing'oleki kizembe
Ooh kizembe
Ei-Eiyoo Trone
(The Mix Killer)
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga

Loading...