Lyrics

Yiii...! Eeeh Shiiii! Okay, Okay, Okay, Wananijuwa me ni number one Control manonga zidane Hit floor amuonekani Sawubona man, kujani Aibo aii kidogo Asubui k-chai muogo Aibo aii kidogo Asubui k-chai muogo Sawubona man, kunjani Aibo aii kidogo Sawubona man, kunjani Aibo aii kidogo T bway the flame Sawubona man, kunjani Aibo aii kidogo Sawubona man, kunjani Aibo aii kidogo Hello... Hello, hujambo ndo nimeland hapa O.R-Tambo Hello, hujambo ndo nimeland hapa O.R-Tambo Hello, ukowapi? Ndo nimefika na mademu wangapi? Hello, ninani leo tumekuja kukiwasha nanani? Sho madjozi peace kali amedamshi Tunafujo tumejaa kwenye gari Tunakula bata wala hatujali, aafu hawaamini nnavyo chapa konyagi Sho madjozi ni samaki kwa maji Sho madjozi ni jogoo halali Sho madjozi ni ndege anafly Wao wanasema wata nishusha, sidhani Sawubona man kunjani Aibo aii kidogo Sawubona man kunjani Hallooo Aibo aii kidogo Chezesha midomo chezesha midomo Chezesha macho chezesha macho Chezesha midomo chezesha midomo Chezesha macho chezesha macho Aaahhh Sawubona man kujani Aibo aii, kidogo Sawubona man kunjani Aibo aii, kidogo Aaah shooo!
Writer(s): Maya Christinah Wegerif, Thabo Lloyd Moagi, Faustina Charles Mfinanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out