album cover

Kidampa

122,835Afro-Pop2025
album cover
00:00
00:20
00:50
01:05
01:10
01:20
01:45
01:55
02:10
02:25
02:55
00:00
03:09
Past 7 Days
Kidampa was discovered most frequently at around 50 seconds into the song during the past week

Lyrics

Ooaahhhhhh
Diameter. Zagadaaa
Mmhhhh
imekuaje leo
mbona majabu
yule mjinga ulomtukana amekua mzuri kwako
Imekuaje?
kukifata kitabu
ulichochana Kisha ukaona taka taka kwako
Mimi ndio yule niliokupenda ila ukaniona kidampa
Mimi ndio yule nilio gombana na ndugu zangu kisa wewe
Mimi ndio yule nilie kua fala boya kwako kibampa
Mimi ndio yule nilo kupa moyo wangu ukautia mawe
Niache now!!!!!!
Unanishangaza
kwani hujui
mwenzako kwako mbona Nisha move on kitambo Sana
Nisha tangaza wewe sawa na ndui
yale mawazo yakurudiana nawe yalisha kufa

Written by: Diameter Pallet

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...