album cover
Fala
album cover
00:00
00:15
00:30
00:35
00:50
01:30
01:50
01:55
02:00
02:05
02:10
02:25
02:30
02:35
02:50
03:05
00:00
03:12
Past 7 Days
Fala was discovered most frequently at around 30 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Hivi unajua maisha yamebadilika
Nilikupenda leo nakuchukia
Yale maombi yangu dua sasa yamekamilika
Ulionitenda maumivu nishafukia
Ila sijasahau
[Chorus]
We mjinga ndio ulifanya mimi mapenzi niyachukie
We fala ningekua na uwezo walahi ungeteketea
We mjinga nilivyo sikupendi usinikaribie
We fala ningekua na uwezo walahi ungepotea
Ka mbali nami
[Verse 2]
Nilikupa moyo, figo, bandama
Cha ajabu vyote hukuona sio sawa
Wakaniita poyoyo kweli ilinichoma
Lakini kila nikikuona ulikuwa dawa ila
[Chorus]
We mjinga ndio ulifanya mimi mapenzi niyachukie
We fala ningekua na uwezo walahi ungeteketea
We mjinga nilivyo sikupendi usinikaribie
We fala ningekua na uwezo walahi ungepotea
Ka mbali nami
[Verse 3]
Nilikupa moyo, figo, bandama
Cha ajabu vyote hukuona sio sawa
Wakaniita poyoyo kweli ilinichoma
Lakini kila nikikuona ulikuwa dawa
Written by: OMARY WAZIRI SHABANI
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...