Şarkı sözleri

Bwana Mungu amejaa utukufu Kiti chake ni uadilifu na vazi lake Ni haki na upendo taji lake ni rehema Amejaa neema na baraka Huwapa moyo waliovunjika Huwaburudisha waliopondeka mioyo Ni bwana mwenye Enzi Kuu
Writer(s): Martha Mwaipaja Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out