Şarkı sözleri

Isiwetabu mi na we kujuana Kama pembeni waga wanisema sana Hata Kipofu wivu kauona Ama dhamira yako wataka unile nyama Chuki binafsi sio mtaji Mi na we wote wapangaji Asa yanini unichukie? eeeeeh Kibaya hujawai nichangia kodi Kunipangia maisha hainogi Ukose chumvi kwangu waja piga hodi yeaahh Si utani tani mpaka ndani ndani watamani mani kuniroga Kuona wivu kwenye mafanikio hiyo ni nidhamu ya uwoga Choo chenyewe kimoja Kila kukicha vioja sina gari wala baiskeli Usafiri wangu bodaboda Nimeleta sofa nani amenuna Nimeleta runinga nani amenuna Nimeweka kapeti nani amenuna Godoro naweka chini nani amenuna Jirani utafika mbinguni umechoka Jirani utafika mbinguni umechoka sana Jirani utafika mbinguni umechoka Jirani utafika mbinguni umechoka sana Umemwambia mangi asinokope eti silipagi Na nikienda bar nalewa kwa offer za vinywaji Amatatizo tunashare luku Amatatizo umeweka umeme wa buku Jirani huna kubwa huna dogo Kukicha unapenda mizozo Sura haijui chogo Mapungufu vitu vidogo Jirani Jirani sio mstarabu Ukifua unatuwekea taraabu Yeah Yeah Si utani tani mpaka ndani ndani watamani mani kuniroga Kuona wivu kwenye mafanikio hiyo ni nidhamu ya uwoga Choo chenyewe kimoja Kila kukicha vioja sina gari wala baiskeli Usafiri wangu bodaboda Nimeleta sofa nani amenuna Nimeleta runinga nani amenuna Nimeweka kapeti nani amenuna Godoro naweka chini nani amenuna Jirani utafika mbinguni umechoka Jirani utafika mbinguni umechoka sana Jirani utafika mbinguni umechoka Jirani utafika mbinguni umechoka sana Jirani utafika mbinguni umechoka Jirani utafika mbinguni umechoka sana Jirani utafika mbinguni umechoka Jirani utafika mbinguni umechoka sana Jirani
Writer(s): Ibrahim Mzonge Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out