Şarkı sözleri

Hisani yangu imenipoza mie Imenifanya nidharauliwe Kwa kuwa hali yangu ya mwenzangu miee Ohhhhhh Sina wema katika hii dunia Kila balaa limeniangukia Leo hii sina raha sitaki kuyasikia mimi Kwa ukweli yanauma yanatia na uchungu Kunichoma yanachoma ndani kwenye moyo wangu Sitaki kujikera nimechoka namaudhi nafsi yangu Kila kukicha balaa linazushwa kwangu mie Lawama ninatupiwa mbayambaya mitaani Ubaya ninaotiwa kwa watu sina thamani mimi Hisani nilofanya wachainigeukie Utu hauna maana niliofanya mie Nimedharauliwa sana mbele ya kitu mjue mimi Kama nilawama na nialaumie Na litakalo kuwa lolote naliwe Binadamu hana wema ata vipi afanyiwe Ooooohhhhhh Nilivyosalitiwa katika mapenzi yangu Nia kumbe ilikuwa kuvunjwa life yangu Vyovyote itavyokuwa watakumbuka fadhila zangu mimi Ila kulirudisha penzi ni ngumu wala sitaki Nishauma siwezi bora na iwe khalasii Mimi na yeye mapenzi nasema na yawe basi mimi Asofadhila ni ngumu kufadhilika kwa jema Kaona kipya kijemi kanisalita bayana Kama kaona kapata basi amepatikana yeye Mimi kwa upande wangu sijifananishi nae Hata iwe roho yangu siko sawasawa nae Na mudu maisha yangu yanifae baadae mimi Kama nikupata basi naapate Iwe ivyoivyo juu asishuke Siwezi kuiziba ridhiki yake oohhhoo Kuepuka matatizo shari naepuka nayo Kwani toka zama izo sina jema mimi kwao ohho Kwa kuwa sina uwezo ule watakao wao Tungeumbwa sote sawa tusingeheshimiana Weee binadamuuuuu Ndio maana tumeumbwa watu hatujafanana Bora nibaki nadhiki kuliko maudhi bhana Inaumaa yanachomaa yanauma yanachoma Yanachomaa yanauma yanachoma
Writer(s): Sabah Salum Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out