album cover

Dedee

15.249Music2017
album cover
Dedee adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Universal Music Kenya Limited Distributed Labels tarafından 20 Haziran 2017 tarihinde yayınlandıDedee - Single
Yayın Tarihi20 Haziran 2017
FirmaUniversal Music Kenya Limited Distributed Labels
BPM182
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Toka nimpate, pate, pate boy
Sitaki nimwache, ache, ache boy
Nini kwangu atake, take, take boy
Kwangu asipate, pate, pate boy
Nampa vyote, ananipa na mimi
Anachofanya, kasoro sioni
Akinishika hoi, taabani
Mie mtoto wake kitandani
Nampa vyote, ananipa na mimi
Anachofanya, kasoro sioni
Akinishika hoi, taabani
Mie mtoto wake kitandani
Napewa vitu matata mimi (oh dedee)
Matata mimi (oh dedee)
Ananifanya nadata mimi (oh dedee)
Nadata mimi
Napewa vitu matata mimi (oh dedee)
Matata mimi (oh dedee)
Ananifanya nadata mimi (oh dedee)
Nadata mimi
Nafuraha, nafuraha, nafuraha, nafuraha
Mimi kuwa naye
Vitamu tamu ananipatia
Yeye ndo wa pekee
Don't bother, wote mjue yupo na me
Don't matter, vile sioni wala sisikii
Don't bother, wote mjue yupo na me
Nampa vyote, ananipa na mimi
Anachofanya, kasoro sioni
Akinishika hoi, taabani
Mie mtoto wake kitandani
Nampa vyote, ananipa na mimi
Anachofanya, kasoro sioni
Akinishika hoi, taabani
Mie mtoto wake kitandani
Napewa vitu matata mimi (oh dedee)
Matata mimi (oh dedee)
Ananifanya nadata mimi (oh dedee)
Nadata mimi
Napewa vitu matata mimi (oh dedee)
Matata mimi (oh dedee)
Ananifanya nadata mimi (oh dedee)
Nadata mimi
Yeiyeeee... oh dedee
Oh dedee
Oh dedee
Oh dedee
Napewa vitu matata mimi (oh dedee)
Matata mimi (oh dedee)
Ananifanya nadata mimi (oh dedee)
Nadata mimi
Napewa vitu matata mimi (oh dedee)
Matata mimi (oh dedee)
Ananifanya nadata mimi (oh dedee)
Nadata mimi
Written by: Bob Manecky, Mimi Mars

Shazam Alt Bilgi

Dil seç:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Bizi Takip Edin

Loading...