album cover

Mapenzi Hisia

81,922African2017
album cover
00:00
00:10
00:15
00:20
00:25
00:40
01:00
01:10
01:30
01:45
01:50
01:55
02:00
02:15
02:35
02:40
03:05
03:30
03:35
00:00
03:42
Past 7 Days
Mapenzi Hisia was discovered most frequently at around 40 seconds into the song during the past week

Music Video

Music Video

Lyrics

Tunapendeza pamoja ni dhahiri, tuliumbwa tuwe pamoja baby
Na sisi huwaga pamoja daily, na kama kando yake hukuniona jua sipo mbali
Maana me ni kivuli chake ye, aendako na me nakwenda ee
Haijalishi uendepo wapi we, nishike mkono twende wote we
Maana me kivuli chake, aendapo na me nakwenda ee
Haijalishi uendako wapi we, nishike mkono twende sote ee
Aahh, mapenzi hisia eii, aah mmoja anakuridhia
Aahh, mapenzi hisia eeh aah, mmoja anakuridhia
Haijalishi unampenda nani herera, herera, haijalishi unampenda nani herera, herera
Basi niambie unampenda nani herera, herera
Shout jina lake hadharani
Iwe anafanya mjengo, makanga au sogi, almradi anakuridhia moyoni
Awe mvuvi ama bodaboda, kupata au kukosa ni majaliwa
Awe seremala au muuza mboga, kupata au kukosa ni majaliwa
Awe mvuvi ama bodaboda, kupata au kukosa ni majaliwa
Awe seremala au muuza mboga, kupata au kukosa ni majaliwa
Eei aghaaghaa! Mapenzi hisia, eei aghaaghaa! Hoja anakuridhia
Eei aghaaghaa! Mapenzi hisia, eei aghaaghaa! Hoja anakuridhia
Me almradi unanipenda baby, almradi unanipenda mama
Me almradi unanipenda, unanipenda, you know, you know that
I'm crazy over you-you, kila nikikuona, roho yangu juju
Wanasema eti umenipa juju, ooh girl I'm crazy over you
You know girl I'm crazy over you-you, kila nikikuona, roho yangu juju
Wanasema eti umenipa juju, ooh girl am crazy over you
Baby aghaaghaa! Mapenzi hisia, eei aghaaghaa! Hoja anakuridhia
Baby aghaaghaa! Mapenzi hisia, eei aghaaghaa! Hoja anakuridhia
Written by: Otile Brown

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...