Lyrics

Nimechoka kuwa single, natafuta mrembo Toka Mombasa, Nairobi Susumila, fanya madingo Nimpate Pendo ama Kihara Kobi Eeeh eeh, vipi Vera Sidika nikiwa naye Ama atanitenda kama Otile niachane naye Eeh wabongo mnapenda kiki na masinema Mbona usiwe na Shishi au Sepetu Wema Ukiwaona warembo warembo, waguse upotee Wanapenda skendo skendo, kama kina Akothee Eeeh eeh kwetu wanapenda pochi kuwa makini Bora uwe na pochi au officialini Ya nini mikiki mikiki? Twapoteza muda Sema vipi nitammiliki mrembo Huddah Wa kwetu hawaaminiki shahidi buda Nilimpendaga kibibi akanichuja Eeeh eh eeh Nataka warembo wa Mombasa Warembo wa Mombasa Warembo wa Mombasa Nairobi pia Ungesubiri kwa sasa Subiri kwa sasa Subiri kwa sasa Unanisikia? Nataka warembo wa Mombasa Warembo wa Mombasa Warembo wa Mombasa Nairobi pia Ungesubiri kwa sasa Subiri kwa sasa Subiri kwa sasa Unanisikia? Boss wako Diamond kamganda Tanasha Na Ben Pol naye, wa Anerlisa kanasa Nami nataka, nipate kigori asinipige chini nikavava Awe kama mdoli yule wa bwana King(Yeah baba) Acha masihara, Lava unayumba yumba Kuna kina Kajala, Hamisa Mobetto na Tunda Wazuri ni wengi sana, nyumbani kwetu Tanzania Nilimtaka Irene Uwoya, eti akasema kawaiwa Ya nini mikiki mikiki? Twapoteza muda Nisaidie rafik, nasaka buja Wa kwetu hawaaminiki shahidi buda Nilimpendaga kibibi akanichuja Eeeh eh eeh Nataka warembo wa Mombasa(Wa Mombasa) Warembo wa Mombasa(Wa Mombasa) Warembo wa Mombasa Nairobi pia Ungesubiri kwa sasa(Siwezi) Subiri kwa sasa(Siwezi) Subiri kwa sasa Unanisikia? Nataka warembo wa Mombasa Warembo wa Mombasa(Wa Mombasa) Warembo wa Mombasa Nairobi pia Ungesubiri kwa sasa(Nasema siwezi) Subiri kwa sasa(Siwezi) Subiri kwa sasa Unanisikia? Eeeh... Mombasa Nairobi Susumila Lava Lava beiby Sultan 001
Writer(s): Yusuf Kombo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out