Music Video

Ben Pol X Goodluck Gozbert - MAMA (Official Music Video) - SMS SKIZA 7916599 to 811
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Ben Pol
Ben Pol
Performer
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Goodluck Gozbert
Goodluck Gozbert
Songwriter

Lyrics

Ooooh mama Mama ninakupenda Mama Mama ninakuheshimu Mama (Mama eeh) Mama ninakupenda Mama Mama ninakuheshimu mama Miezi tisa (eee ee) Mbumbumbu sijui lolote Ila Mama Wewe waniongelesha Miezi tisa (eee ee) Tumboni sijui lolote Ila Mama Kabisa uliningojea Ukashona na sare Kusubiri nianze shule Wakasema chizi yule Si angengoja akuwe Eeh, Mama siwezi kukulipa mimi Uliyonipa hayanunuliki Upendo wako mi sitosheki Jembe, jembe Mama nakukubali wewe Ooooh Mama Mama ninakupenda Mama (Mama, mama--) Mama ninakuheshimu Mama Mama ninakupenda Mama (Mama) Mama ninakuheshimu Mama Aah aah, ukitoa Mungu Mbunge ni wewe ni wewe ni wewe Waziri ni wewe ni wewe ni wewe Raisi ni wewe ni wewe ni wewe Mama Kila kitu ni wewe ni wewe ni wewe Aah, nitanunua na kanga zenye maneno mazuri uone Aaah tena nitazichanga na sarafu nikupe uchune Aah, nitanunua na kanga zenye maneno mazuri uone Aaah tena nikizichanga nitakupa na noti uone eeh Mama Sijasahau sadaka zako kutoka moyoni Uliponipa wakati Mama yangu hauna Sijasahau sadaka zako kutoka moyoni Mama Uliponipa Mama wakati wewe hauna Tena kama nikienda Mama, jua ninakuthamini Na moyoni mwangu nimekuweka Mama Tena kama ukienda Mama, jua ninakuthamini Na moyoni mwangu nimekuweka Mama Oh kipenzi ooh kipenzi oh kipenzi oh Oh mpenzi ooh mpenzi oh mpenzi oh Oooh, Mama Mama ninakupenda Mama Mama ninakuheshimu Mama Mama ninakupenda Mama Mama ninakuheshimu Mama Mama ninakupenda Mama Mama ninakuheshimu Mama (Uuh) Asante kwa malezi Asante kwa vitumbua Asante kwa chapati Asante kwa kunikung'uta Asante kwa malezi Asante kwa vibajia Asante kwa mandazi Asante kwa kunipa bua (Asante)
Writer(s): Benard Paul Mnyanganga, Goodluck Gozbert Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out