album cover
Wapo
album cover
Wapo was released on June 12, 2019 by Ben Pol as a part of the album Wapo - Single
June 12, 2019
LabelBen Pol
LanguageEnglish
BPM179
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

It's Bob Maneke
Eltianam
Usiku wa mananeeeeh jua kali likawaka
Hali ambayo sikuizoea ivyo ilinipa mashaka
Sikutaka tugombaneeeeeh yeye ndo alitaka
Akawa ananililia eti anataka talaka
Lile ua letu lote la upendo ndo likanyaukaah
Aaaaaah eeeeh
Nilitaka kua chizi maaawe ningeweuka
Nikasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
Wengine wapo wapo wapo
Mapenzi yapo yapo yapo tu
Wengine wapo wapo wapo
Mapenzi yapo yapo yapo tu
Nlikonda kwa mawazo nlikosa raha nlipata wasiwasi
Ila nlijipa moyo natupa jiwe ntapata almasi
Saa nyingine nilifumba ata macho namuona yeye
Ilinipa tabu kusahau moyoni alikuaaa. ah
Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
Wengine wapo wapo wapo
Mapenzi yapo yapo yapo tu
Wengine wapo wapo wapo
Mapenzi yapo yapo yapo tu
Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
Nasema tulia tulia moyo aya ya dunia yasikutishe wala
Yani tulia tulia moyo aya ya dunia yasikunyime amani
Wengine wapo wapo wapo
Mapenzi yapo yapo yapo tu
Wengine wapo wapo wapo
Mapenzi yapo yapo yapo tu
Yapoooo tuuuuuuu
Written by: Kusah
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...