Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gopa Beatz
Gopa Beatz
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

Akinipenda mama inatosha Akinipenda baba inatosha Akinipenda mama inatosha Akinipenda baba inatosha eh eh Mwanzo nilikuwa sijui Nilihadithiwa na mababu Mwanzo nilikuwa sijui mapenzi Niliyasoma kwa vitabu Sasa nimekuwa nimejua mapenzi uchizi Yule unayempenda ndo anakunyima usingizi Kwake moyo unautua bila ikipingamizi Na kesho anakuzingua mapenzi ya siku hizi Unatuma message mchana anajibu usiku Unatuma message usiku anajibu mchana Unatuma message mchana anajibu usiku Mapenzi unamwona online anachat Na kukujibu hataki Anaposti yuko kwa party na marafiki Sasa niko single naenjoy Niko single naenjoy Mwenzenu niko single naenjoy Bora niko single naenjoy Nikitaka kwenda kibeach Naenda naparty mpaka asubuhi Afu siulizwi ooh Naenda naparty mpaka asubuhi Nikitaka kwenda tipsy Naenda naparty mpaka asubuhi Element samaki samaki Naenda naparty mpaka asubuhi Juliana Liquidi oooh Ooh shobo (Ricardo Momo) Sitaki Shobo (Don Fumbwe) Ooh shobo (Msalimie mkubwa Fela na babu Tale) Sitaki Shobo na mapenzi (Don Mendez mahela) Sitaki Shobo na mapenzi Bora kila mtu kivyake Mwenzenu mi siwezi naona bora niache Yasije nitokea puani Mkingombana kidogo kammiss ex wake Na wanachat na kuview status zake Wakumbushie zamani naa. Makopa kopa wanatumiani Emoji za makopa eti kucommentiana Makopa kopa wanatumiani Emoji za makopa eti kucommentiana Ukiniona nacheza mziki usidhani nina mawazo Jamani kuwa single raha Ukiona navuta shisha usidhani nina mastress Wala na enjoy raha Ukiniona nakunywa Hennessy usije dhani nina msongo Jamani usingle raha Ukiniona nangonga KVANT usije kanihamada Jamani kuwa single raha, niacheni mwenzenu Sasa niko single naenjoy Niko single naenjoy Mwenzenu niko single naenjoy Bora niko single naenjoy Nikitaka kwenda Dubai Naenda naparty mpaka asubuhi Kitambaa cheupe kwetu pazuzi ooh Naenda naparty mpaka asubuhi Ka unapepeta msondo ngoma Naenda naparty mpaka asubuhi Sio fute fute la jasho Naenda naparty mpaka asubuhi Uhuru picky, party pointy Jangwani sea breeze, the baze tucheze wote Komboa komboa saga, saga kisigino Komboa komboa saga, isagie kwa juu Komboa komboa saga, sagia kwa chini chini Ah ah ah, saa hivi inatakiwa tusage viuno jamani Aya twende, komboa komboa saga Shikilia dera Komboa komboa saga Zungusha acha kumwera Komboa komboa saga Kata tutunze mahela Akinipenda mama inatosha (Kwa Mix Lizer)
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out