Music Video

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Mbosso
Mbosso
Composer
Mbwana Yusuph Kilungi
Mbwana Yusuph Kilungi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

(Ayo, Lizer) Nimesadiki ya wahenga Penzi lina raha yake Mzigo kwa tenga Kimfaacho mtu chake Denge nimekatwa ngenga Ah, umate mate najinyenga nyenga Mao mao, mao Tate Huwaga sioni Ninavyoipanda milima Ulimi sikioni Mwili wote wanizizima Mwenzenu sioni Macho mawili yote sina Tunaanza jikoni Mpaka varandani twalindima, yalah Yalah yalah Yalah yalah (ooh) Yalah yalah Yalah, yalah Penzi limenizidia (yalah yalah) Ni kubwa (yalah yalah) Nzito (yalah yalah, yalah, yalah) Tungezaliwa zamani Ningesema penzi togwa Tulinywe kibarazani Tukitafuna maboga Nimekipanda uani Kibustani cha uyoga Tukishiba biryani Baby, tule mboga mboga Sasa polisi wa nini? Nikikosa nikamate wewe Mahakama ya nini? Nikikosa nihukumu wewe Penzi chupa la balindi Tuligide baby hadi tulewe Vindege shorwe vya nini? Kifaranga unibebe weh mwewe Huwaga sioni Ninavyoipanda milima Ulimi sikioni Mwili wote wanizizima Mwenzenu sioni Macho mawili yote sina Tunaanza jikoni Mpaka varandani twalindima, yalah Yalah yalah (yalah yalah) Yalah yalah (yalah yalah) Yalah yalah (yalah yalah) Yalah, yalah Penzi limenizidia (yalah yalah) Ni kubwa (yalah yalah) Nzito (yalah yalah, yalah, yalah)
Writer(s): Mbwana Yusuph Kilungi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out