Music Video

Lava Lava - Ng'ari Ng'ari (Lyrics)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Gopa Beatz
Gopa Beatz
Producer
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

(Ayolizer) (Dopabeat) Ah, nimetulizana ndege kwa kiota sitoki Mambo mwororo Nimenasiana hata kwa kukokotwa sing'oki Kwa minyororo Nishasahau zamani kushikana mashati mizozo Mapenzi gani kila kukicha vibonzo Nimepata mwandani bila VAT bila tozo Wambea kunani mnakipi 'kina mama nyonzo Na nimeamua sitaki sitaki Kurudia matapishi, nishakula yamini divai Aende akanishitaki mahakamani, polisi Kama kuna kitu ananidai Oh, poleni wanokonoko, penzi linametameta, meta Mwali fundi si kitoto, kama kasomea VETA, VETA Mwiteni na kiroboto, mje na matarumbeta, mbeta Sisi twachochea moto, roho kuwakereketa Penzi linang'ara, ng'ari ng'ari Mtaliona hivi hivi, ng'ari ng'ari Kwa mbali linapepea, ng'ari ng'ari Mtaliona hivi hivi, ng'ari ng'ari Wenyewe twajifaidia Aniita, aniita mi' Ayuni Namwita namwita Nyonda Sabuni Anipa anipa mpaka bafuni Sio mbwembwe ndio zake tamaduni Ah, najiamini niko peke yangu, ndio maana natamba Sina shaka hofu kwa raha zangu, hata mkinichamba Wenye roho za kwanini, nitajijua zangu niko naye sambamba Mi' napenda yake anapenda yangu, kuilamba lamba Zifikisheni salamu kwa yule kidudu mtu Mwambie kutesa kwa zamu asipige marufuku Yani ni mashamu shamu leo mambo iko huku Nimempata Beckham fundi si butubutu Oh, poleni wanokonoko, penzi linametameta, meta Mwali fundi si kitoto, kama kasomea VETA, VETA Mwiteni na kiroboto, mje na matarumbeta, mbeta Sisi twachochea moto, roho kuwakereketa Penzi linang'ara, ng'ari ng'ari Mtaliona hivi hivi, ng'ari ng'ari Kwa mbali linapepea, ng'ari ng'ari Mtaliona hivi hivi, ng'ari ng'ari Wenyewe twajifaidia Mwenzenu napewa vitamu; tende, halua, halua Vya pwani, vya bara; tende, halua, halua Anipa haninyimi wala; tende, halua, halua Mwenzenu nalishwa nalala; tende, halua, halua Aah (Wasafi)
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out