album cover

Napambana

26,077Afro-Pop2023
album cover
Napambana was released on March 2, 2023 by Warner Music Africa as a part of the album Napambana - Single
ReleasedMarch 2, 2023
LabelWarner Music Africa
BPM64
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Naamka asubuhi, sina hata buku sh'ndala
Chakukila sijui, bora hata pakulala
Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala
Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara
[PreChorus]
Eeh! Kwacha kwacha, Nakwenda nakwenda
Sijakubali kudoda, hii ngoma haisambii
Na ndoto za aliniacha, sijapenda-sijapenda
Aliekupa kigoda, mi' atanipa kumbi
[Chorus]
Eh! Nipate ntoke patupu (Kawaida hiyo)
Siku nzima niambulie buku (Ndo yakwangu sijaiba hiyo!)
Usiniulize naishije mjini? (Napambana)
Niokote machupa niuze siso (Napambana)
Hata nkidanga jamani niacheni (Napambana)
Niwe kondakta ubungo migomigo (Napambana)
Aa! Eeh! Iih (Napambana)
Aa! Eeh! Ooh (Napambana)
[Verse 2]
Mama mkubwa le mukuu, Khadija Kopa
Boss de la boss, Mama Dangote
Majiamdimu majiamdimu (Saga saga saga saga)
Eh! Eh mungu wangu baba, baba, baba
Ziitikie dua zetu waja wapate magari sita nane saba
Tuvae Gucci, Fendi, na mi-Prada
[PreChorus]
Wewe, acha kumbwela
Mungu habagui anawapa hadi ngedere
Wewe (Wewe) hela (Tafuta hela) mchawi helaa
Wanaokudharau watakuheshimu mbele
[Chorus]
Eh! Nipate ntoke patupu (Kawaida hiyo)
Eti siku nzima niambulie buku (Ndo yakwangu sijaiba hiyo!)
Usiniulize naishije mjini? (Napambana)
Niokote machupa niuze siso (Napambana)
Hata nkidanga jamani niacheni (Napambana)
Niwe kondakta ubungo migomigo (Napambana)
Aa! Eeh! Iih (Napambana)
Aa! Eeh! Ooh (Napambana)
[Bridge]
Mikono juu, mikono juu, mikono juu
Wapambanaji mikono juu, mikono juu, mikono juu
[Outro]
Asa usimcheke aloshindia chungwa (Alie kula kalaa)
We wa biriani shibe ileile (Alie kula kalaa)
Maharagwe robo ugali kilo kumi (Alie kula kalaa)
Eti kula piza baga shibe ileile (Alie kula kalaa)
Mama alie kula kala (Alie kula kalaa)
Aah, alie kula kalaa ah (Alie kula kalaa)
Written by: Zuchu

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...