Lyrics

Mocco A tout compris Mocco Naamka asubuhi, sina hata buku sh'ndala Chakukila sijui, bora hata pakulala Chumbani matandabui, mende wamefanya utawala Na mjomba panya haelewi, riziki yake hasara Eeh! Kwacha kwacha, Nakwenda nakwenda Sijakubali kudoda, hii ngoma haisambii Na ndoto za aliniacha, sijapenda sijapenda Aliekupa kigoda, mi' atanipa kumbi Eh! Nipate ntoke patupu (Kawaida hiyo) Siku nzima niambulie buku (Ndo yakwangu sijaiba hiyo!) Usiniulize naishije mjini? (napambana) Niokote machupa niuze siso (napambana) Hata nkidanga jamani niacheni (napambana) Niwe kondakta ubungo migomigo (napambana) Aaa! Eeh! Iiih (napambana) Aaa! Eeh! Ooh (napambana) Mama mkubwa le mukuu, Khadija Kopa Boss de la boss, Mama Dangote Majiamdimu majiamdimu (saga saga saga saga) Eh! Eh mungu wangu baba baba baba Ziitikie dua zetu waja Tupate magari sita nane saba Tuvae Gucci, Fendi, na mi-Prada Wewe, acha kumbwela Mungu habagui anawapa hadi ngedere Wewe (wewe) hela (Tafuta hela) mchawi helaa Wanaokudharau watakuheshimu mbele (Wanaokudharau watakuheshimu mbele Eh! Nipate ntoke patupu (Kawaida hiyo) Eti siku nzima niambulie buku (Ndo yakwangu sijaiba hiyo!) Usiniulize naishije mjini? (napambana) Niokote machupa niuze siso (napambana) Hata nkidanga jamani niacheni (napambana) Niwe kondakta ubungo migomigo (napambana) Aaa! Eeh! Iiih (napambana) Aaa! Eeh! Ooh (napambana) Mikono juu, Mikono juu, Mikono juu Wapambanaji Mikono juu, Mikono juu, Mikono juu Asa usimcheke aloshindia chungwa (alie kula kalaa) We wa biriani shibe ileile (alie kula kalaa) Maharagwe robo ugali kilo kumi (alie kula kalaa) Eti kula piza baga shibe ileile(alie kula kalaa) Mama alie kula kala (alie kula kalaa) Aah, Alie kula kalaa ah (alie kula kalaa) Kamix Lizer
Writer(s): Zuchu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out