Lyrics

Classic Music Sounds vibe Habaa Kaomba kapewa Kaonja kalewa Nami ndo nishamuelewa nikimkosa nakuwa kama nachelewa Nyota mbala mwezi Mwanamke amazing Mbona hawakuwezi kama unakuwaga na ngekewa Siri sio siri tena penzi hadharani Usipomkuta kwangu sasa atakuwa kwa nani?? Siri sio siri tena mambo hadharani Usipomkuta na mimi sasa ata tamba nani?? Aaah aaah aaah ah Aaah aaah aaah ah Aaah aaah aaah Aaah aaah aaah Show off me Asa show off me Kama unapendwa show off me Kama unampenda show off me Show off Mapenzi yashanitesa roho Asee a better let it go Toka nimekutana na wewe mbona naona tunapendana Washaniumiza sana roho Nampenda mwanamke match know Toka nimekuwa na wewe kama mapacha tunafanana Mapenzi huwaga complicated Sometimes you do wherever is taken Watu watakwambia utasikia no sense Mana hisia ikiendesha kichwa no break Vipensi nimeingia vip Navyojiachia your body on me Unanipa a b na c d Mwenge unachoma ki jiji Vuka kwenye mto wa rufi ji limalima kwa shamba la bibi Shig mik nam treat ki chi Nashuka na panda She says be free Siri sio siri tena penzi hadharani Usipomkuta kwangu sasa atakuwa kwa nani?? Siri sio siri tena mambo hadharani Usipomkuta na mimi sasa ata tamba nani?? Aaah aaah aaah ah Aaah aaah aaah ah Aaah aaah aaah Aaah aaah aaah Show off me Asa show off me Kama unapendwa show off me Kama unampenda show off me Show off
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out