歌词

Lala lala Lala Lala Lala lala lala Lalalalala Aku Aku Ita Ita Kwa upendo mwingi Kwa upendo mwingi Uli Uli Opo Jeanje kwangu Mchuungaji mwema ndiye akuita njoo haraka Ni kwa nini umeyaruhusu Eeh muungu mwenyezi Yatuusononeshe moyoni Ni kwa nini uliyaruhusu Ona haya machozi Tazama tunavyoliia Twajiuliza sanaaa bwana ni kwa nini uliyaruhusu?? Nakumbuka kwa usiku huo Usiku wa uzuni mwiingi Nikaakubali bwana kwamba Wenzetu wapumzike Najiuliza moyoni Kwanini bwana mwenyeezi Unaruhusu husu
Writer(s): Ambassadors Of Christ Choir Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out