制作

出演艺人
Rama Dee
Rama Dee
表演者
作曲和作词
RAMADHANI SHAIBU SALEHE
RAMADHANI SHAIBU SALEHE
作曲

歌词

Sioni
Hatari mbele ya penzi letu
(Ooh, ooh)
(And the-)
Pendo letu
Lifike mbali
Ooh, baby
Tulinde love
(Kupendana)
Waepuke mashosti wote
Wasio na maana
Hapa duniani
Wabaya wamezidi nguvu wazuri, mpenzi
(Mpenzi)
Hata manabii
Walipigwa mawe usoni
Moyoni haikuathiri
(Penzi)
Usihofie colour, 'gizani, mwanga
I love you
Baby, mi ndio taa
Usihofie Wachaga, 'wahaya, mama
Upendo hauchagui kabila
Hatari, mola atuepue
Baraka, mola atushushie
(Na-na-na-na, na-na-na-na)
Maudhi yasitupitie
Furaha kubwa ituingie
(Na-na-na-na, na-na-na-na)
Mwana mosi, eh
Mwana mosi
Mwana mosi, eh
Mwana mosi
Nisimulie
Hadithi nzuri zenye muendelezo
Za mahaba
Nifarijike
Nikumbatie
Ukihisi msongo wa mawazo
Nitakushusha presha iwe normal
Kwani, kuelewana
Kushikamana
Kuridhiana
Ndio nguzo imara
Tuepushe utata
Nasi tufike tommorow
Hivyo ndivyo love
Usione watu wakiishi kwa furaha
Wamefungua kurasa
(Baby)
Usihofie colour, 'gizani, mwanga
I love you
Baby, mi ndio taa
Usihofie Wachaga, 'wahaya, mama
Upendo hauchagui kabila
Hatari, mola atuepue
Baraka, mola atushushie
Na-na-na-na (Pendo letu)
Na-na-na-na (Oh, love)
Maudhi yasitupitie (Mimi nawe)
Furaha kubwa ituingie
Na-na-na-na (?)
Na-na-na-na
(Baraka na-)
Hatari, mola atuepue
(Penzi letu)
Baraka, mola atushushie
(Heri yetu, hey...)
Na-na-na-na
Na-na-na-na
(Na baraka)
Maudhi yasitupitie
(Kwenye nuru yetu)
Furaha kubwa ituingie
(Heri yetu, baby)
Na-na-na-na
(Ooh)
Na-na-na-na
(Nah...)
Usihofie colour, 'gizani, mwanga
I love you
Baby, mi ndio taa
Usihofie Wachaga, wahaya, mama
Upendo hauchagui kabila
(Instrumentals)
Written by: RAMADHANI SHAIBU SALEHE, Rama Dee
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...