制作
出演艺人
Eunice Njeri
表演者
作曲和作词
Eunice Njeri Mathenge
词曲作者
歌词
[Verse 1]
Every time I take a breath or see the sunshine
Streams flowing from up on the high mountains
Far to the far sky I know you are a wonderful God
I think of the many, many times I've seen your powerful hands
The miracles in my life, I couldn't dare live without you
[Chorus]
Wanishangaza, wanishangaza
Wanishangaza, wanishangaza
Matendo yako makuu, wanishangaza
Miujiza yako Yesu, wanishangaza
[Verse 2]
Take my heart, my faith, my trust
Nakupa moyo wangu, na imani, nakuamini
Baba nitaomba, nitaimba, nitakusifu
Milele nitaomba, nitaimba, nitakusifu
Mungu wa mapendo, mwenye utukufu wote
[Chorus]
Wanishangaza, wanishangaza
Wanishangaza, wanishangaza
Wanishangaza, wanishangaza
Wanishangaza, wanishangaza
[Chorus]
Wanishangaza, wanishangaza
Yesu wanishangaza, wanishangaza
How you love me
Wanishangaza
God you're mindful of me
Wanishangaza
Mimi ni mwanadamu tu
Wanishangaza
Jinsi waniwazia memaa
Wanishangaza
Na ukuu wako Yesu
Wanishangaza
Bwana unavyotawala
Wanishangaza
Written by: Eunice Njeri Mathenge

