制作
出演艺人
Guardian Angel
表演者
作曲和作词
Guardian Angel
词曲作者
Peter Audiphaxad Omwaka
词曲作者
歌词
Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu
Bwana ana uwezo kunipa wokovu
Kijito cha utakaso ni damu ya Yesu
Bwana ana uwezo kunipa wokovu
Oh kijito (kijito cha utakaso)
Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana (sifu Bwana)
Kwa hiyo nimepata utakaso
Kijito cha utakaso
Nizame (nizame kuoshwa humo)
Namsifu Bwana eh, ooh, ooh (namsifu Bwana)
Kwa hiyo nimepata utakaso
Viumbe vina-ona damu ina nguvu
Imeharibu uovu uliodhulumu
Kijito (kijito cha utakaso)
Nizame, nizame (nizame kuoshwa humo)
Namsifu Bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Oh Kijito (kijito cha utakaso)
Nizame kuoshwa humo
Sifu Bwana (namsifu bwana)
Kwa hiyo nimepata utakaso
Ni neema ya ajabu
Kupakwa na damu
Na Bwana Yesu
Kumjua Yesu wa Msalaba
Kijito (kijito cha utakaso)
Nizame (nizame kuoshwa humo)
Namsifu Bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Kijito (kijito cha utakaso)
Nizame kuoshwa humo
Namsifu Bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Kijito (kijito cha utakaso)
Nizame (nizame kuoshwa humo)
Namsifu Bwana
Kwa hiyo nimepata utakaso
Written by: Peter Audiphaxad Omwaka

