类似歌曲
制作
出演艺人
Ben Pol
表演者
Benard Paul
表演者
作曲和作词
Ben Pol
词曲作者
Benard Paul
词曲作者
歌词
Ooh aah ooh aah aah eeeh
Ooh aah ooh aah aah eeeh
Ooh aah ooh aah aah eeeh
Ooh aaaahh
Kila siku ninapoamka
Ninapoianza siku mpya
Namshukuru Mola kwa kunilinda
Nafasi nyingine nikapewa
Labda nikijituma
Na mi iko siku ataniletea
Na mi niwe na vyangu
Niepuke ya walimwenguu
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Eeh eeh eeeh oooh
Kukosa kitu leo sio tatizo
Nikitafuta nitapata kesho
Naamini Nami ataniletea
Pamoja na magumu ninayopitia
Kukosa kitu kwangu sio tatizo
Nikitafuta nitapasta kesho
Naamini Nami ataniletea
Pamoja na magumu ninayopitia.
Eeeeh eeh
Hawajui kuhisi kwa upendo
Ama ninafuraha Siku zote
Maisha yetu ni uadui tu
Hatujui dunia tunayopita tu
Na kwenye maisha kuna kuanguka
Ila mi sitachoka nitainuka
Mpaka siku itakapofika
Ndoto zangu zote kukamilika
Na kwenye maisha kuna kuanguka
Ila mi sitachoka nitainuka
Mpaka siku itakapofika
Ndoto zangu zote kukamilika
Mmmh
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Kukicha ni maneno maneno
Wenzangu hamuishi kusema
Na mi sijali yenu maneno
Mwanadamu amezaliwa anasema
Eeh eeh eeeh oooh
Kukosa kitu leo sio tatizo
Nikitafuta nitapata kesho
Naamini nami ataniletea
Pamoja na magumu ninayopitia
Kukosa kitu kwangu sio tatizo
Nikitafuta nitapata kesho
Naamini nami ataniletea
Pamoja na magumu ninayopitia
Writer(s): Benard Michael Paul Mnyang'anga
Lyrics powered by www.musixmatch.com