类似歌曲
制作
出演艺人
Ben Pol
表演者
Benard Paul
表演者
作曲和作词
Benard Paul
词曲作者
歌词
Asubuhi tu kukicha,
Mi nazianza pilika
Mchana kutwa kutafuta,
Nikutunze langu ua
Na uzuri ulonao,
Nakuacha nyumbani peke yako
Roho inaniuma mwenzio,
Natamani nishinde kando yako
Na uzuri ulonao,
Nakuacha nyumbani peke yako
Roho inaniuma mwenzio
Natamani nishinde pembeni yako
Mi napata homa,
Jioni na watu ukisimama, mh
Na roho inaniuma
Sokoni kurudi umechelewa
Mi napata homa,
Jioni na watu ukisimama
Na roho inaniuma,
Sokoni kurudi umechelewa
Samboira kuruse,
Sumu kanee viu ya kutali
Jichunge mama,
Katu sitopenda nikukose mpenzi we
Samboira kuruse,
Sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama,
Katu sitopenda nikukose mpenzi we
Ushajua mi nakujali sana,
Ndo maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana,
Maana wapo wasopenda kutuona
Ushajua mi nakujali sana, ndo
Maana moyo wangu unaniuma
Nakuomba kipenzi chunga sana,
Maana wapo wasopenda kutuona
Wakijipitisha kutwa kucha,
Uwaambie kwangu umeshafika
Usidanganyike na zao pesa,
Pamba na magari ni vya kupita
Wakijipitisha kutwa kucha,
Uwaambie kwangu umeshafika
Usidanganyike na zao pesa,
Pamba na magari ni vya kupita
Samboira kuruse,
Sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama,
Katu sitopenda
Nikukose mpenzi we
Samboira kuruse,
Sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama,
Katu sitopenda nikukose mpenzi we
Samboira kuruse,
Sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama
Katu sitopenda,
Nikukose mpenzi we
Samboira kuruse,
Sumu kane viu ya kutali
Jichunge mama,
Katu sitopenda,
Nikukose mpenzi we
Writer(s): Benard Michael Paul Mnyang'anga
Lyrics powered by www.musixmatch.com