音乐视频
音乐视频
制作
出演艺人
Beka Flavour
表演者
Bakari Abdu
领唱
作曲和作词
Beka Flavour
词曲作者
Bakari Katuti
词曲作者
Bakari Abdu
词曲作者
制作和工程
Maximizer
制作人
AWESOME
制作人
歌词
Uuuhhh Uuuuhhh Ah eehhh
Uuuhhh aah aaaaaahhhh
Mmmmmh
Aah aaaaaahhhh
Mmmmh
Ulipaswa uwe mvumilivuuu
Ungesubiliaaa
Uhakiki ndo utoe majibuu
Kama nimekosea aah
Najua wivu niugonjwa
Ambao wengi tunaugua
Unanibukumu sina kosaa
Mbona kipenzi unanionea
Heeey
Misemo ya wahenga
(Baby umepuuzia)
Uuuhh
Maneno yanajenga
(Menginee yanabomoa)
Na kibanda tushajenga
(Badoo kuhamiaa)
Usigeuke samaki
(Ndoano Zikakuopoa)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(Kipenzi)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(My baby)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(Mpenzi)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
Hakuna apendae mua kula kwenyefundo ama tindini hata
Kama nikukosa usikurupuke niulize mimi
Hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini hata kama nikukosa
Usikurupuke niulize mimi tujenge amani
Mmmh eeeeh
Niulize mimi tujenge amani
Niulize mimi tujenge amani
Tabia fulani za fuku fuku kwepana nazo mama mapenzi
Yasikatike yakawa luku yakisha ndani oh na kinyonga
Mtaratibu kwenye amani ila kwenye vita nakimbia kipimo
Cha majaribu hadi shetani
Usiruhusu akaingia kinyonga mtaratibu kwenye amani
Kwenye vita nakimbia kipimo cha majaribu hadi shetani
Usirihusu akaingia
Maneno ya kuambiwa usiyajaji fasta fasta mami macho
Funika pazia masikioni weka pamba darling
Maneno ya kuambiwa usiyajaji fasta fasta mami macho
Funika pazia masikioni weka pamba darling
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(Kipenzi)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(My baby)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
(Mpenzi)
Sarafina
Sarafina
Sarafina
Hakuna apendae mua kula kwenyefundo ama tindini hata
Kama nikukosa usikurupuke niulize mimi
Hakuna apendae mua kula kwenye fundo ama tindini hata kama nikukosa
Usikurupuke niulize mimi tujenge amani
Mmmh eeeeh
Niulize mimi tujenge amani
Niulize mimi tujenge amani
Written by: Bakari Abdu, Bakari Katuti, Beka Flavour
