歌词

Ana ngoma zote samba vanga sidimba Ukiingia anga zake rare timba Hadithi hadithi utam kolea Huwezi kusimulia mvua haijakunyeshea Take care huu sio moto wa kuotea Mimea juba mbovu litakubomokea Usimchokoze mwache komando kalala Akiamka biashara shaghala baghala Mtu hasara wamezinga mabomu Mbaghala Akitinga home anaacha msala Kaamkia stand hata bila safari Kashazima zake data hana habari Kutwa za watu machata kujikubali Mastaa plasta mtu wa ajali Nitakuingiza chaka usimweke dhamana Alikolala leo sio huko aliamka jana Hana usiku hana mchana hana maana Mtu lawama hana team hana chama Unakuja kutaste taste weka anachomeka Kama unabet bet anachana mkeka Wameshikwa na baridi wanatetemeka Wamepatwa na mawenge wanaweweseka Huyu bwana hana mzaha anapiga honi Tena kabeba silaha kali kibindoni Sema suto na vumbi usoni Tia mguu uende na maji mtoni Anazijua njama, drama, utampenda Anakuwa mnyama ukiinama Ukiinuka amekwenda nawe eeh Mzee wa segedance Kukaba kuiba kashazoea, segedance Wanamuita segedance Dhuluma kupiga nyumbani, segedance Siku nyingine kumekucha kwenye misele Ye anawaza mbele maisha yatakuwa mtele Stori zake chenga chenga nyingi kama Pelle Kwa vitambo hajambo majigambo tele Tunaishi naye kimatale mtaani Ukasero kwake yeye ni kama maskani Umri wake na matendo haviendani Jua kali cheki mwendo shati begani Akiingia party kaharibu kaishia Sio mtu kweli bandia bandia Mambo yake ni kudandia dandia Mkate anashushia na bia Kichwa imewaka ti na anapepesuka Hana muda wa kuoga anapaka mafuta Mueke vigingi chimba chimba na matuta Hutomkuta maajabu ya Musa Unakuja kutaste taste weka anachomeka Kama unabet bet anachana mkeka Wameshikwa na baridi wanatetemeka Wamepatwa na mawenge wanaweweseka Huyu bwana hana mzaha anapiga honi Tena kabeba silaha kali kibindoni Sema suto na vumbi usoni Tia mguu uende na maji mtoni Anazijua njama, drama, utampenda Anakuwa mnyama ukiinama Ukiinuka amekwenda nawe eeh Mzee wa segedance Kukaba kuiba kashazoea, segedance Wanamuita segedance Dhuluma kupiga nyumbani, segedance
Writer(s): Richard Martin Lusinga, Ramadhani Thabit Shariff, Sweetbeth Mwimula Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out