制作
出演艺人
Nandy
表演者
作曲和作词
Faustina Nandera Charles Mfinanga
词曲作者
歌词
[Intro]
Unaninyanyasa uhh
Unaninyanyasa uhh
Unaninyanyasa uhh
Unaninyanyasa
[Verse 1]
Mwili umekonda nimepungua
Haieleweki nachougua
Moyo kidonda unakwangua inauma sana
Mbele za watu unaniumbua sina la kusema
Visa unanifanyia japo navumilia ila naumia sana
Na siku ukijua kuwa unanikosea itakuwa too late japo
[Chorus]
Unaninyanyasa
Baby (Unaninyanyasa)
Wewe (Unaninyanyasa)
Baby (Unaninyanyasa)
Baby unaninya
[Verse 2]
Unaniangusha chini aniokote nani
Japo ujui thamani yangu me nani ataitambua
Kwanza kumbuka baby si tumetoka mbali
Ukiwa huna siwazi nimekubali tuijenge familia
Visa unanifanyia japo navumilia ila naumia sana
Na siku ukijua kuwa unanikosea itakuwa too late japo
[Chorus]
Unaninyanyasa
Baby (Unaninyanyasa)
Wewe (Unaninyanyasa)
Baby (Unaninyanyasa)
Aah unaninyasaa
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga

