制作
出演艺人
Msanii Music Group
表演者
作曲和作词
Jared Owino
词曲作者
Joash Nyamongo Ongechi
词曲作者
歌词
[Verse 1]
Alilala pembeni mwa birika
Kwa miaka thelathini na nane
Bila tumaini nalo tegemeo
Hadi sabato moja yenye mibaraka
[Verse 2]
Alipopita yesu akamuona
Ni sabato isiyo sahaulika
Ni sabato isiyo sahaulika
[PreChorus]
Hakuamini masikio alipoambiwa simama utembee
Lakini alitii, alipo piga hatua

Kapiga hatua (Mojaa) hatua (Mbilii)
Hatua (Tatu) hatua
[Chorus]
Hapo ndipo alipoamini kuwa kweli ameponywa
Mara huyo na kitanda chake kichwani akaondoka

[Verse 3]
Zawadi ya pekee ya sabato
Kamwe huyo mtu hatasahau
Nao wayahudi walinung’unika
Jambo walilokosa hasa ni upendo
Waliweka sheria mbele yao
Ni sabato isiyo sahaulika
Ni sabato isiyo sahaulika
[PreChorus]
Hakuamini masikio alipoambiwa simama utembee
Lakini alitii, alipopiga hatua
Hakuamini masikio alipoambiwa simama utembee
Lakini alitii, alipo piga hatua
Kapiga hatua (Mojaa) hatua (Mbilii)
Hatua (Tatu) hatua
[Chorus]
Hapo ndipo alipoamini kuwa kweli ameponywa
Mara huyo na kitanda chake kichwani akaondoka
Hapo ndipo alipoamini kuwa kweli ameponywa
Mara huyo na kitanda chake kichwani akaondoka
[Verse 4]
Sabato ni siku kuu yake Bwana
Peleka zawadi kwa wenye shida
Ona wagonjwa, hata walemavu
Sikae kanisani, sifiche talanta
Kwa kuyafanya hayo mahubiri
Ni sabato isiyo sahaulika
Ni sabato isiyo sahaulika
[PreChorus]
Hakuamini masikio alipoambiwa simama utembee
Lakini alitii, alipo piga hatua
Hakuamini masikio alipoambiwa simama utembee
Lakini alitii, alipopiga hatua
Kapiga hatua (Mojaa) hatua (Mbilii)
Hatua (Tatu) hatua
[Chorus]
Hapo ndipo alipoamini kuwa kweli ameponywa
Mara huyo na kitanda chake kichwani akaondoka
Hapo ndipo alipoamini kuwa kweli ameponywa
Mara huyo na kitanda chake kichwani akaondoka
Written by: Jared Owino, Joash Nyamongo Ongechi