歌词

Hahahahaha 26 life Zombie S2kizzy baby Kuna maku ameniDM(DM) Anasema Nyandu sku hizi unazima sheli fegi Umekuwa waki kinoma unahang out na kina vibegi Nikamjibu njoo nikukunje ile mbuzi kagoma -- wa mpaka nidedi Sku hizi kitu na filter Sidhani kama ungenijua kiundani Ungekubali kuwa hater Natokea uswahilini mguu shetani mguu jini Bado mitaa imeniamini kama kiongozi wa dini R.I.P lango umekwenda umekwenda rafiki wa kweli Nimebaki mimi Siku hizi hawatuoni oni tunaishi local - Na Mungu anatuongoza Hatujachukua ubingwa la ligi tunawaongoza Tamaa na shobo nyingi mabishoo vinawaponza Wana nyumba za vioo Wanaleta shobo Eeeh wanaleta nyodo Eeeh wanaleta shobo Eeeh wanaleta Eeeh tunatupa mawe, eeh mawe Tupa mawe, eeh mawe Tunatupa mawe, eeh mawe Mawe, eeh mawe I say kinyago, nakuchonga unanitisha Lala na bango na team haitovunjika Tuliza kipago na mbwembwe zako za insta Ona napiga collabo na mwanangu wa maisha Ey Mr Dj twende kwenye replay Ey Mr Wivu we mpaka wivu uishe Bongo tuiwakilishe mkunga usimzalilishe We mwenye nyumba, nyumba kauhalalalishe Ahh Busy Babilon, kichaa la hiphop Najulikana sana angani Mr Pipa Mashoot makali juu ya ndae golikeeper Hiphop inauza na getini mtalipa Kilomita nyingi nanyoosha goti Mi ndondosha verse we ndondosha pochi Nadodosha noti unadodosha chozi Mi nagonga copy kagonge goti Wana nyumba za vioo Wanaleta shobo Eeeh wanaleta nyodo Eeeh wanaleta shobo Eeeh wanaleta Eeh tunatupa mawe, eeh mawe Tupa mawe, eeh mawe Tunatupa mawe, eeh mawe Mawe, eeh mawe Eeh tunatupa mawe, eeh mawe Tupa mawe, eeh mawe Tunatupa mawe, eeh mawe Mawe, eeh mawe
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Raymond Shaban Mwakyusa, Hamidu Salim Chambuso Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out