制作

出演艺人
Rapcha
Rapcha
表演者
Cosmas Paul Mfoy
Cosmas Paul Mfoy
说唱
Rashid Shabani
Rashid Shabani
说唱
Godwin Leloy
Godwin Leloy
说唱
作曲和作词
Cosmas Paul Mfoy
Cosmas Paul Mfoy
词曲作者
Rashid Shabani
Rashid Shabani
词曲作者
Godwin Leloy
Godwin Leloy
词曲作者
制作和工程
Gachi B
Gachi B
制作人

歌词

Verse 1 Rapcha
Gachi Waonesheee
Last King Of 90's Baby
So nkamuomba one night stand (Yeyeeah)
Ila ku-date, Mambo ya kuchunana mi spendi
Manzi kagida bapa dry bila glass
Kakataa room "tukamalizane kwenye nyasi" (Uuuuhh)
Demu wa pili nlimuona anajichetua (Yeyeeh)
Kizungu kingi nkaona huyu wakishua (Yeyeeah)
Nikamchanganyia Tungi akajaa
Ile Kulewa tu akaanza kutapika Dagaa (Uuuuuuh)
Demu wa tatu nlimuona ametoka chicha (Yeyeaah)
Akanikosha mbaya nkasema hang'oki hapa amekwisha (Yeaah yeaah)
Nkampiga sound nkamvuta getto, Ile kutoa wigi tu ana bonge la ngeu kwenye kichwa (Uuuuuuh)
Aisee unaua vibe!! unaua!!
Unaua Vibe , Unanikata stimu
Unaua vibe!! Unaua!!
Unaua Vibe
Unanikata stim!!
Verse 2 Young Lunya
(Oh My)
Unajua Wale Wana Wakupakazia
Wanakuaga Na Tabia Flani sio Za kuaminia
Anadai ameikata pisi Hadi inachuchumia
Pisi full inamlilia kumbe hata busu hajaambulia
Unaua vibe babu.. Unaleta hisia
Mapenzi ya Huruma Huruma yapo kwenye tamthiliya
Chumba Umelipia ,msosi Umelipia Hadi mchezo Umelipia Halafu unapangiwa pa kumwagia
Juzi mwanao kateka shpapi ya kuokota
Mitaa flani ya Kati , kino hapo kwa mwanamboka
Pisi ikataka kulipwa povu linamtoka
Mwana kachimba na shuka Mara pwaah likadondoka
Chorus
Aisee unaua vibe .. unaua
Unaua vibe unanikata stimu
Unaua Vibe Unaua..
Unaua vibe , unanikata stimu
Unaua Vibe unaua.. Eh!
Unaua Vibe unanikata stimu
Verse 3 Dwin
Juzi Kati Nilitoka Sjui Saa ngapi
Ninachokumbuka Nilmkuta kwenye party
Zama room chapu chapu mi si nnataka mikasi
Nikaskia unapiga vingapi? na mfukoni una sh ngapi?
Kutana na mtoto ana nane figure
Smoking hot Kama amenyonga wida
Samahani ma I'm sick Halafu we ndio tiba
Kuwaonesha Wana picha si wote walishapiga
Kuna Wana Wana mishe za kise***
Gambe anagongea Halafu analewa tu mawenge
Yani pisi Kali hivi hivi tu upitishe wembe
Yani huna pesa huna Gari Halafu tu akupende!?
Chorus
OUTRO!!
Ametinga Kinoma, Mwache acheze ajimwage
Tinga Kinoma, DJ tena idondoshe..
Written by: Cosmas Paul, Cosmas Paul Mfoy, Godwin Leloy, Justine Mhagachi, Rashid Shabani
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...