制作
出演艺人
Mbuzi Gang
表演者
作曲和作词
Joseph Nyamwea
词曲作者
Mike Makori
词曲作者
Moses Otieno
词曲作者
制作和工程
Victor Amani
制作人
歌词
WAH WAH BY THREE WISE GOATS
Unasota aje aje
Na kichwa ina mashillingi
Kaa ni mboka aje aje
Kuna fom si unitaje
Kaa ni vansu nikanze
Weh ni cross tu mwenda zake
Utatoa hadi mschande
Kwa mbocho before nikushut down
Mbuzi ndio rende
Mziki ndio mboka lazima nihenge
Nikona pembe
Ju maungos beef kisenge
Marrapper ni wengi walevi
Bars kushare lazima ni common
Ufinye the great ni hormones
Niko straight lakini ni kombo
Wafuasi wa mbuzi kwa condo
Uko hai hukumbuki kwa condom
Floor illegal nishalipa hongo
Napika nachemsha bongo
Mara that usharudi kwa udongo
Naeza beba game yote kwa gongo
Hosi si kairo ni doki
Ninashit huwezi jaza kwa potty
Kiatu, toja, chupa si tunawaka waka
Si tunawaka waka
Gode ikipitishwa si tunawasha washa
Si tunawasha washa
Aty mnatubonga kwetu ni no wahala
There is no wahala
Saa ni usiku usiku shawry anataka dawa
Wa wa wa wa
Mita ya damu inapendanga hawawawawaa
Manzi ni wako lakini anakaa wawawawa
Haga ni pillow naskia kulalalala
Wawawawa
Wanataka hiyo rating
Siwapi ten
Ni the GOAT na mbuzi gang
Juu pia ya wathi ni Gucci mane
William shakespear nikishika pen
Ngeri ya mafyat mangwangi
Kwa mkono matax za rangi
Nameditate nikielevate
Wao huniita maheart wa mabangi
Last year walisema next year
Huyu kijana hawezi top hizi charts
This year wanafurahi kuniskia
Wanachunisha kwa tv na kwa mat
Kaa ni rap cv na macert
Pull up in the place nimekuja na percent
Fathermoh pia tukona iphoolish
You would never see a ****
Really clever like that Kiatu, toja, chupa si
Tunawaka waka
Si tunawaka waka
Gode ikipitishwa si tunawasha washa
Si tunawasha washa
Aty mnatubonga kwetu ni no wahala
There is no wahala
Saa ni usiku usiku shawry anataka dawa
Wa wa wa wa
Mita ya damu inapendanga hawawawawaa
Manzi ni wako lakini anakaa wawawawa
Haga ni pillow naskia kulalalala
Wawawawa
Wawawawa I was smoking the zazazaza
Its never around
I'm being the calm
I need a mouth
I'm in the car with my girl chanel
But im rocking the prada dadada
These are the bitches can't compare
Coz I'm like nadadada
Cheki cheki cheki
I'm in the game na sichezi
Squeeze you like you have semi
I've been making money so long like dredi
Like semi sisemi
Who is the best
She tell me what
Handle my time like what
Kiatu, toja, chupa si tunawaka waka
Si tunawaka waka
Gode ikipitishwa si tunawasha washa
Si tunawasha washa
Aty mnatubonga kwetu ni no wahala
There is no wahala
Saa ni usiku usiku shawry anataka dawa
Wa wa wa wa
Mita ya damu inapendanga hawawawawaa
Manzi ni wako lakini anakaa wawawawa
Haga ni pillow naskia kulalalala
Wawawawa
Mbuzi ndio rende
I got balls M skende
Ambia huyo dj
Kaa si hasira za panda yeye si mgenje
Genje ni mbaya
Chini ya maji cheki venye nasendwe
Wash wash nishushe ego dwanzi
Ah! Ofcoure not please note
Ukikuja hizi sides maarea
Ndoa please knock
Kwa pori wa mbuzi
Pori wa nyani
Nyongwa bitch come slow
Ndani ya mpasho
Kaa ni katepa
Chai nimekuja na sachet
Na ni urgent nimekuja na news
Mtu nataka ni nipashe
Show your sare sare
Next kipara itapigwa kipare
Ukiwasha nare unaeza poteaa
Kaa count your ware
Njos ni nare nikona nare
Imebaki nipate mamale
Washa kingalu umesota aje
Na bob ni marley
Kiatu, toja, chupa si tunawaka waka
Si tunawaka waka
Gode ikipitishwa si tunawasha washa
Si tunawasha washa
Aty mnatubonga kwetu ni no wahala
There is no wahala
Saa ni usiku usiku shawry anataka dawa
Wa wa wa wa
Mita ya damu inapendanga hawawawawaa
Manzi ni wako lakini anakaa wawawawa
Haga ni pillow naskia kulalalala
Wawawawa
Written by: Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno, Victor Amani

