制作
出演艺人
Mbuzi Gang
表演者
作曲和作词
Joseph Nyamwea
词曲作者
Mike Makori
词曲作者
Moses Otieno
词曲作者
制作和工程
Peter Ochieng Otieno
制作人
歌词
At ease alert,salute
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe
(London London London)
Ah cheza chakacha na rhumba itukate (kate)
Vuta maboza na matha asipate (yea)
Mama sukari amenona ale mate (yea)
Kakobaka mpaka shimo asing'ate (cheki)
Songa songa na si sembe (sembe)
Usini-cross me naeza kuslap sende (sende)
Huko back manyu uko na thende
Kichwa mbaya na Mbuzi mackmende
Tease alert, it is balaa (balaa)
Usilalishe like it is mala
Si huchapa luku huku like its gala
Bila mipango fanya kishaghala (kishaghala)
Baghala (baghala)
Madhara (madhara)
Kejani niko na shamba la, wanyama
Mbesha shigana (shigana)
Mbona watu washikana? (Mmh)
Manzi kadunga shambala kama waistbeads
Ni mshamba na, afanya vitu zakunishangaza
Gari imejaa ongeza sambaza
At ease alert,salute
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (kaana)
At ease alert,salute
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (Kaana)
Mi' ni star apa jua talent haijaikua
Usinidungie tenje na sijui unanijua
Jaba aluta lipua mi' ndo shit manure
Pesa shida tatua
Career yako ntanunua mmh mmh ahuh ahuh
Odi ana nduku kadhaa kwa backpack puff
Ongeza karaha, furaha
Vijana kwa chorus mama
Kichwa mbaya na Mbuzi mackmende (yoh)
Si na si sidano
Yani I mean I don't know
Idd Amin Dada alikuwa bro, broski
Whiskey na ndom issa no
Sai iko popping kampuni yangu ya cologne
Mi' ndio topic ongeza kiasi voloyong
Nimeripoti niko kwa chief na kindom
Heeh, niko kwa chief na kindom
At ease alert,salute
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (kaana)
At ease alert,salute
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (wapi?)
Tunaenda sherehe (Kaana)
Written by: Joseph Nyamwea, Mike Makori, Moses Otieno

