歌词
VERSE 1
Mwenzio bahati sinaga  Aah..!
Navile nikipenda najimalizaga  Aah.!
Mimi wakumi kwenye mafungu saba
Aaah aah.!
Aundotuseme nasura ya baba
Maana nikiachwa ndonavyo tukanagwa
Naomba usiwe kamawao
Mapenzi yanakaba  kaba  Ouohuuhoo
              BRIDGE
Jaribu kuregeza ..( Apelelee...!)
Misijaja kukubeza..(Pelelepelelee..)
Mepenzi Nayaweza..(Apelelee..)
Nitwishe ulivyobeba..(Pelelepelelee..)
    Kweli niamini iih..iih..Ah..
Nikubalie..(Apelelee..)
             CHORUS
Uwoouwoo Mimi nawe..(Saree saree)
Aah tuwemapacha wawili..Ee(Saree saree)
Tunafanana mimwenyewe nakiri(Saree saree)
Tunafananaa Aah..! Nikubalie..
Aah..Mimi nawe..(Saree saree)
Aah tuwemapacha wawili..Ee(Saree saree)
Tunafanana mimwenyewe nak…
Written by: DEVID ZENO
