制作
出演艺人
Rapcha
表演者
Cosmas Paul Mfoy (Rapcha)
说唱
作曲和作词
Cosmas Paul Mfoy (Rapcha)
词曲作者
制作和工程
Gachi B (Justin John Mhagachi)
制作人
Justin John Mhagachi (Gachi B)
制作人
歌词
Hello
Gachi waoneshe
Verse 1
Na ndo maana sikai online these days
Ama ninazima phone
Maana nna madeni nyomi kila sehemu watu wananipigia phone
Na wanarusha text everytime mi nachuna kama sioni
Napoiwasha inaita anytime
Okay who is calling now?
Gachi B
Hello
Yani umeniwahi tu mchizi
Afu nilipanga nikucheki saa hizi
Si unajua tena haya mambo ya ubusy
Unaeza nipa ka dakika moja please
Oyaaa mzee mbona sikusomi
Hivi simu zangu ina maana huzioni
Nimekutimbia kwenu mpaka maghettoni
Vipi lile deni langu si ulisema utanigea siku za usoni
Chorus
Wait please, (hello)Sijakusoma mchizi (hello)
Nitumie message please (hello)
Apa mbona ka sikusikii?? (Hello, hello)
Wait please (hello)
Network mbovu siskii (hello)
Kata upige tena please (hello)
Ngoja mbona ka sikuskiii (hello hello)
Verse 2
Na ndio maana sikai online these days
Ama ninazima phone
Maana nna mademu nyomi kila sehemu
Wote wananicheki kwenye phone
Na wanarusha text everytime mi nachuna kama sioni
Nikiiwasha inaita anytime
Huyu ananicheki right now
Hello
Babe
Nilikua na isssues tu na
Hajui tu vile nakumiss tu mamaa
Basi tu umewahi kunicheki ilaUnaeza nipa ka dakika moja please
No no babe
Mi nishachoka sound zako
Siku zinapita sijaona simu yako
Afu kuna ishu nahitaji tuongee
kuna dada amenicheki kaniambia eti ni mpenzi wako
Chorus
Wait please, (hello)
Sijakusoma i think (hello)
Nitumie message please (hello)
Apa mbona ka sikusikii?? (Hello, hello)
Wait please (hello)
Network mbovu siskii (hello)
Kata upige tena please (hello)
Ngoja mbona ka sikuskiii (hello hello)
Hello
Hello
Hello
Hello hello
Written by: Cosmas Paul Mfoy (Rapcha)