album cover
Interview
8,101
Hip-Hop/Rap
Interview 由 Bongo Records Ltd 于 2022年5月20日 发行,作为专辑“To The Top, Vol. 1 - EP”的一部分。
album cover
发行日期2022年5月20日
唱片公司Bongo Records Ltd
旋律性
不插电
Valence
舞蹈性
能量
BPM95

制作

出演艺人
Rapcha
Rapcha
表演者
作曲和作词
Cosmas Paul Mfoy
Cosmas Paul Mfoy
词曲作者
Justin John Mhagachi
Justin John Mhagachi
词曲作者
制作和工程
Justin John Mhagachi
Justin John Mhagachi
制作人

歌词

[Intro]
Asubuhi flani hang over bwii
Nani tena huyu ananipigia saa hii
Napapasa kuitafuta simu mpaka naikamata
Macho kwenye screen naona jina "GACHI B"
[Verse 1]
We mshezi una balaa hatari
Sjui zilikua ni tungi au vijiti walimix wale
Uliwaka ukavamia dem wa mtu ukamshika shika
Na ukawa unaforce kumkiss eti palepale
[Verse 2]
Nlijua lazma utani-roast
Sjawahi waka vile mpaka ikatokea hadi data zime-lost
Mchizi alinitwika ngumi bufff kwenye mdomo
Yani nkahisi nmepoteza meno yote on the spot
[Verse 3]
Usingeweza kutoboa pale
Ilibidi ncheki gap tuchomoke tukimbie mbali
Nlikudrop kwako ukanambia nkushtue mapema
Una interview ya kazi leo katafte ugali
[Verse 4]
Ayaa nahisi nshachelewa
Duhh mchongo bado nusu saa nkichelewa hawatonielewa
Umetisha kunishtua acha niwahi chap nkawaskie
Nikitoka ntadondoka studio
[Verse 5]
Mswaki dakika moja, kuoga dakika moja
Suruali ya kitambaa imejikunja na iko moja
Ila haya yote ningeandaa tangu jana isingekua kazi fresh
Nitanyoosha daika moja
[Verse 6]
Naboost simu isinizimikie nkiwa njiani
Muda unaenda sana sa inabidi ntoke ndani
Navaa chap uber njoo nifate sinza vatcani
Sina muda wakuelekeza fata ramani
[Verse 7]
Dakika mbili uber akafika
Madevera smart kama wewe mjini ndo wanahitajika
Skia nirushe chap posta pale 99
Plaza ntakuongeza buku 5 tukiwahi kufika
[Verse 8]
Palepale kwanza dreva kawaka
Aah leo ka bahati yani mzee wa lissa nimekunyaka
Hivi kwenye ule wimbo ulipigwa kweli?
Sioni hata makovu na ile story vipi ishakukuta kweli!??
[Verse 9]
Sasa hapa ndo tutapochelewa
Focus yako iwe kwenye kuniwahisha na sio kuongea
Mgenilipa kama mnavyonisifia
Saivi nsingekua busy kutafuta kazi nisiyoielewa
[Verse 10]
Hii ndo shida ya wasanii Bongo
Mbele ya camera wapole sana na kujisifia uongo
Mnasema mnatupenda mashabiki
Ila tunapokutana mnatutreat kama vile tunanuka shombo
[Verse 11]
Na ndo shida ya mashabiki wa Bongo
Mnapenda tu kupuuzia ukweli na kuamini uongo
Mnasahau ka na si ni binadamu kuna muda tuna stress zetu mtuvumilie kidogo
Haya muda unaishia afu bado kuna umbali
[Verse 12]
Nikamlipa dreva nikashuka kwenye gari
Pss pss boda niwahishe posta chap tu
Zimebaki dakika 5 ufike muda wa interview
Mbio mbio mpaka destination
[Verse 13]
Zimebaki dakika mbili tu afu mchiz ndo naingia reception
Dada wa mapokezi akafurahi aliponiona
Si akataka alete story nkaona ananichoma
Sasa nkiwa palepale reception
Najibizana huyu sista, haki nimechoshwa na questions
Wakaingia watu wawili ndani
Yule dada alivyowasalimia ikabidi nkae attention
[Verse 14]
Nageuka nione kuna nani
Ndo namuona yule dada ambae jana nilimfata nkamletea uhuni
Pembeni yake kaongozana na mumewe alieyataka kunitoa meno na ndio boss wa kampuni
Ilinichukua ka nusu sekunde kukumbuka ule uzito wa ile ngumi kwenye lile tukio
Nkakamata bahasha ya vyeti vyangu kwa makini nkatazama mlango ulipo vvuum nkatimua mbio
Written by: Cosmas Paul Mfoy, Justin John Mhagachi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...