音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Xouh
Xouh
表演者
作曲和作词
Ramadhan Daniel
Ramadhan Daniel
词曲作者

歌词

[Intro]
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
[Verse 1]
Nishachoka kupenda
Kwanza mapenzi sio lazima
Nishachoka kupenda
Kwanza mapenzi yanachoshaa
[Chorus]
Usinipelekeshe pumbavu
Maisha ni yangu wewe sio ndugu yangu
Kama hunipendi sikupendi
Hakuna kupretend
Mapenzi yanachoshaa
[Chorus]
Usinipelekeshe pumbavu
Maisha ni yangu wewe sio ndugu yangu
Kama hunipendi sikupendi
Hakuna kupretend
Wanaachwa wanajeshi asa mimi nani
[Bridge]
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
[Verse 2]
Nimempata juzi kaniacha jana
Yani huyu kinajana apewe laana
Anajiona keki kisa nampenda sana
Kudadadeki basi ajile mwenyewe
[Verse 3]
Nishachoka kupenda
Kwanza mapenzi sio lazima
Nishachoka kupenda
Kwanza mapenzi yanachoshaa
[Chorus]
Usinipelekeshe pumbavu
Maisha ni yangu wewe sio ndugu yangu
Kama hunipendi sikupendi
Hakuna kupretend
Mapenzi yanachoshaa
[Chorus]
Usinipelekeshe pumbavu
Maisha ni yangu wewe sio ndugu yangu
Kama hunipendi sikupendi
Hakuna kupretend
Wanaachwa wanajeshi asa mimi nani
[Outro]
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
Ooh oh ooh oh ooh
Written by: Ramadhan Daniel
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...